zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Tribute huwa ipo kwa Rais yoyote hasa anayefia madarakani (Which is rare) msitake kugeuza eti ni exceptional Fulani hivi.Hiyo unayoijua wewe, hupendi kusikia eeh? Basi ndiyo hivyo log on general meeting ya mwaka 2021 special session kwaaji ya hayati JPM ipo pale na hotuba kedekede za viongozi wa dunia wakitoa tributes zao kwake....Is a privillage kuofia nchi yako ukiwa unaitumikia maana kama ni kufa sote tutakufa tatizo tutakufaje ndiyo Mungu mwenyewe huamua, kwa huyu hiwa aibu na fedheha, kwa wengine utukufu wake hujidhihirisha!