Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Theory tu na variable zake
 
Huu mwanga ni hitilafu ya camera maana kwenye picha yako ya pili hapo ukiangalia unaona umehamia kwenye huo mti baada ya kuonekana angani

Ukiangalia video clip huo mwanga unaonekana ukizunguka kufuatana na camera inavyozunguka au mpiga picha
 
Yaani ingekuwa ni ufipa duu
 

Uwezo wako kufikiri upo chini sana, sumu imdhuru mtu mmoja tu kwenye kundi la watu? A
 

A dopey piece of writing
 
Aliekua anarekodi simu yake ilikua na flash..ikawa inareflect kwenye kioo cha tv..kikubwa ni huo moshi aisee..adi yeye aliouna akasema wana ruangwa mnaleta na moshi [emoji2]

Halafu moshi ulianza baada ya huo mwanga na Rais aliuona na ndipo moshi ukafuka karibu yake
Scary
 

Kuna Stori niliwahi Kusikia kuwa kama kuna Watu wanajua Kuroga nchini Tanzania na wakikuamulia Kidhati kabisa hawakukosi japo huwa ni Wapole ni Watu wa hii Mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara. Kuna Kiongozi Mmoja nae huko nyuma alijifanya Kuwadharau wakati akijua nae anatokea huko huko alichokikuta katika Goti lake la Kulia alikoma nao na hadi hivi leo amehama na hata Mkoa wenyewe huku akiwa amejikita Mkoa mmoja ulio Jirani na Bahari ya Hindi ambao una Wanawake wanaojua Mahaba Tanzania nzima unaoweza hata Kukufanya usahau Kwenu au Wazazi wako kwa miaka yako uliyopangiwa Kuiishi duniani na Mwenyezi Mungu.
 
Ila alivyombea atakuja kusema siku moja akiwa jukwaani maana ninachompenda mh wetu bhana hana koromeo
Jiwe ni mropokaji mzuri sana!

Hawezagi kukaa na kitu moyoni hlf atulie!

Tusubir tu mana lazima atapike tu kimuishe huko moyoni!
 
uko sahihi kabisa
 
Kwa matusi anayotukana wananchi akiwa kwenye majukwaa nadhani si vizuri. Labda aww anawafanyia wanaume wa Kinondoni tu, huko mikoani hawawezi kuvumilia. Lazima wa retaliate
Hebu weka hapa hayo matusi na ni wananchi wa wapi waliotukanwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…