Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 395
jamani ctaki kuamin shirki miee... Aaah!!!Mpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)
Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
View attachment 1238981View attachment 1238980