Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica

Ushauri mzuri sana. Wote ni wagonjwa wa aina moja au nyingine
 
Source ya moshi ilikuwa nini? Ikawaje wakaruhusu source ya moshi iwe karibu na Mkubwa.
 
Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.

Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.

Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Watu wanataka hela sio vikao
 
Source ya moshi ilikuwa nini? Ikawaje wakaruhusu source ya moshi iwe karibu na Mkubwa.
Nahisi kile lilikuwa bomu sema ile mitambo ya kisasa Israel inayomulinda ili defuse
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kwani wamewahi kua na maendeleo?! Asira zao ni kuhalibiwa uchumi wao lkn pia kitukanwa wao na viongozi wao........na kuahidi keep chapo kwa shangazi zao
Mkurugenzi toka marekani mkuu wa wilaya mkuu wa Takukuru wote wamefukuzwa kazi pindi magufuli kapita huko wakaamua kwenda kwa Sangoma wa Ruangwa kwa msaada wa membe ndipo moshi wa ndumba ukawashwa na kumlewesha
 
Back
Top Bottom