Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Hakukatisha speech walisogeza gari mbele akaendelea
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Letaa na photoshop yako bhasii[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanataka hela sio vikaoHasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Moshi ulitokea wapi?
Nahisi kile lilikuwa bomu sema ile mitambo ya kisasa Israel inayomulinda ili defuseSource ya moshi ilikuwa nini? Ikawaje wakaruhusu source ya moshi iwe karibu na Mkubwa.
Mkurugenzi toka marekani mkuu wa wilaya mkuu wa Takukuru wote wamefukuzwa kazi pindi magufuli kapita huko wakaamua kwenda kwa Sangoma wa Ruangwa kwa msaada wa membe ndipo moshi wa ndumba ukawashwa na kumleweshaKwani wamewahi kua na maendeleo?! Asira zao ni kuhalibiwa uchumi wao lkn pia kitukanwa wao na viongozi wao........na kuahidi keep chapo kwa shangazi zao
".....Ruangwa mmeanza mpaka mnaleta na Moshi"aisee! je hamna sauti yoyote iliyosikika?
Magu anajua maana yeye ndo alisema naona mmefanya yenu
".....Ruangwa mmeanza mpaka mnaleta na Moshi"
Nahisi kile lilikuwa bomu sema ile mitambo ya kisasa Israel inayomulinda ili defuse
jamani ctaki kuamin shirki miee... Aaah!!!
God reveal to redeem!...Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Nimeiangalia kwa umakini mkubwa hiyo video. Nimefikia conclusion kuwa jamaa kanyoshwa