HAKI, HAKI, HAKI : Mungu akiombwa asimame na wate wanaoumia kukosewa haki katika makundi yao haya: wapinzani, waliobomolewa nyumba, waliokataliwa fidia hapa mapipa na sehemu zingine, walioachishwa kazi, walionyimwa mikopo, nk, nk.... Hakika utawala wako ni wamashaka na rungu zitatokea... Please kuna nafasi ya kujirekebisha ukitafakari mapana ya haki, daima haki ni ya Mungu. Fikiria unatumia Biblia kumwapisha haki MTU unaemtuma akoseshe watu haki mfano majaji na mahakimu, maafisa katika ngazi mbalimbali za selikali nk. Wote tujitafakali usicheze na haki. Roho za watu zinatilirika machozi ya haki kila kukicha angalia wapinzani huko mahakamani, je si kweli wanashitakiwa kwa makosa ya kutafuta haki zao?