Amina
Atapona na ataishi ktk jina la Yesu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapona na ataishi ktk jina la Yesu,
Photoshop
Je inawezekana wazee wa Ruangwa wamefanya mambo yao makubwa kuliko wale wachawi 900 wa Gamboshi?
Kwa sisi wanalindi huo uchawi ni mbaya sana sijui kama atapona
Mkuu huenda huo mwanga ni flash ya camera aliekuwa anarecod iyo video
Nafikiri vodoo ilitumika akapanik kiasi cha ‘pace maker’ yake kuacha kufanya kazi!siamini katika vodoo!
KakaHiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Mkuu kuna mtu ni juzi tu nilisikia anadai yule mbunge aliyepigwa risasi dodoma eti katelekeza jimbo wakati dunia nzima tunajua jamaa alipigwa risasi miaka miwili yote alikuwa kitandani anapigania uhai wake na sahivi kawa kilema...vipi unayesema tumuombee mema ndo huyo aliyedai mwenzie katelekeza jimbo???...kama ndo huyo mkuu tumuache tu mungu atende hakiiwe vyovyote vile yeye siyo binadamu Wa Kwanza kuumwa na hatokuwa Wa mwisho ..tumuombee mema Raisi wetu
Huo mwanga ni huyo anayerekodi video kwenye simu. Simu yake ilikuwa na flashlight so kaiwasha.Mpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)
Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
View attachment 1238981View attachment 1238980
Ni kweli.Ziara hazina shida yeyote...
Ktk video ni kweli moshi ulimzuia na baadae akaendelea kuhutubia na akaaga vizuri. Wabongo tuache uzandiki.
Ni sawa mkuu ila kumbuka pia huwezi kufanya jambo lolote kumdhuru kiongozi bila kuwa na connection na system ya ulinzi, so kama itakuwa ni shambulizi maana yake system nzima unajuwa na inawezekana bila shida, kikubwa tusubiri nini kinaendelea na tunaomba uzima ila funzo liwepo.Ishu ya sumu kwenye msafara wa Rais ni ngumu sana maana huwa kuna surveiilance ya maana katika eneo ambapo Rais atasimama kuhutubia, Na kama ndivyo najua walinzi watakuwa wamefanya kile kinachotakiwa kujua nini hasa chanzo cha moshi husika na ikiwezekana kuondoka na kidhibiti..
Nafahamu fika serikali ina wataalamu wa kutosha wa forensic kuweza kung'amua kama kweli ni ule moshi ulikuwa na sumu ndani yake, na kwa haraka haraka sumu zinazokuwa katika huo mfumo wa gesi bado hainingilii akilini, hapo kuna namna tu kwa wakazi na wenyeji wa huko LIndi.
Mzee wakati Mkapa alipokuwa naumwa taarifa ziliwekwa bayana na wananchi tukaanza kufanya maombi, na Mkwere alipoumwa umma ulijulishwa na maombi kama kawaida ya Watanzania tulifanya. Tuache kutengeneza ombwe lisilo na maana kama kuna mushkeli wa kiafya wa kiongozi tunao utaratibu mzuri wa kuwajulia hali wagonjwa na kuwaombea kwa mujibu wa dini zetu zinavyoruhusuKaka
Kitu cha kwanza wajiulize kwanini wanaruhusu akili yao kuamini kwenye uzushi wa mitandaoni? Pili hatuna utaratibu wa kupewa taarifa za hali za afya binafsi za viongozi na hutuwezi kuufanya kuwa utaratibu wetu leo hii sababu ya uzushi wa mitandaoni tutaonekana wapumbavu kwa wananchi na hata kwa mataifa ya kigeni.. Na walipaswa kumwelewa vyema rais aliposema anatamani malaika wangeshuka wakaifungia hii mitandao ya kijamii fikirieni kwa fikra pana na dhima ya wanachokifanya Hao wanaosambaza Hizi Taarifa.
mkulu mwenywmkut, hiyo sauti ni ya mkulu au aliyekuwa anarecord?
Unajuwa ukiangalia ni kama unapata majibu ya maswali yao wenyewe kwa Lissu.Nani kampa ruhusa ya kwenda huko si aende Mwimbili tu!
Ndio maana kuna mtu kasema mbunge wa Ruangwa atumbuliwe kwa aibu hii.Kwa Video, TZ kama nchi tunaingia kwenye ramani ya dunia, watu wanaroga mpaka Mkuu tena mchana na hadharani. Sidhani kama kuna nchi inatufikia sasa, si wange mloga usiku kimya kimya tu.hawa wazee wameliabisha taifa.