Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Sitaki kusema sana, maana inaweza chezwa move ili tutolewe kwenye kufuatilia wizi wa computer ofisi ya DPP na mahela yetu, ila mda utasema tu
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Kaka
Kitu cha kwanza wajiulize kwanini wanaruhusu akili yao kuamini kwenye uzushi wa mitandaoni? Pili hatuna utaratibu wa kupewa taarifa za hali za afya binafsi za viongozi na hutuwezi kuufanya kuwa utaratibu wetu leo hii sababu ya uzushi wa mitandaoni tutaonekana wapumbavu kwa wananchi na hata kwa mataifa ya kigeni.. Na walipaswa kumwelewa vyema rais aliposema anatamani malaika wangeshuka wakaifungia hii mitandao ya kijamii fikirieni kwa fikra pana na dhima ya wanachokifanya Hao wanaosambaza Hizi Taarifa.
 
iwe vyovyote vile yeye siyo binadamu Wa Kwanza kuumwa na hatokuwa Wa mwisho ..tumuombee mema Raisi wetu
Mkuu kuna mtu ni juzi tu nilisikia anadai yule mbunge aliyepigwa risasi dodoma eti katelekeza jimbo wakati dunia nzima tunajua jamaa alipigwa risasi miaka miwili yote alikuwa kitandani anapigania uhai wake na sahivi kawa kilema...vipi unayesema tumuombee mema ndo huyo aliyedai mwenzie katelekeza jimbo???...kama ndo huyo mkuu tumuache tu mungu atende haki
 
Mpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)

Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
View attachment 1238981View attachment 1238980
Huo mwanga ni huyo anayerekodi video kwenye simu. Simu yake ilikuwa na flashlight so kaiwasha.
 
Ishu ya sumu kwenye msafara wa Rais ni ngumu sana maana huwa kuna surveiilance ya maana katika eneo ambapo Rais atasimama kuhutubia, Na kama ndivyo najua walinzi watakuwa wamefanya kile kinachotakiwa kujua nini hasa chanzo cha moshi husika na ikiwezekana kuondoka na kidhibiti..

Nafahamu fika serikali ina wataalamu wa kutosha wa forensic kuweza kung'amua kama kweli ni ule moshi ulikuwa na sumu ndani yake, na kwa haraka haraka sumu zinazokuwa katika huo mfumo wa gesi bado hainingilii akilini, hapo kuna namna tu kwa wakazi na wenyeji wa huko LIndi.
Ni sawa mkuu ila kumbuka pia huwezi kufanya jambo lolote kumdhuru kiongozi bila kuwa na connection na system ya ulinzi, so kama itakuwa ni shambulizi maana yake system nzima unajuwa na inawezekana bila shida, kikubwa tusubiri nini kinaendelea na tunaomba uzima ila funzo liwepo.
 

Walau hiki kipande cha video kinaonyesha kilichhojiri baada ya huo moshi.Nahisi gari lake lilipata hitilafu na ikapelekea kuhamishwa kwenye gari lingine AU gari la karibu yake lilipata hitilafu likatolewa na la kwake kurudi nyuma kidogo. Maana baada ya hapo anaonekana kuendelea na hotuba akiwa mzima kabisa na pia anaonekana mtu hapo chini (moja ya walinzi wake) akiwa na mabegi anayahamisha(bila shaka ni kutoka kwenye gari lilipata hitilafu).

Hata hivyo baada ya kutoka Ruangwa Mhe. aliendelea na ziara mahala pengine akiwa mzima kabisa.
Nadhani tuache dhahania za uongo na kutunga na tutafute ukweli wa alipo Mhe. Rais pasipo kupotosha.
 
Kaka
Kitu cha kwanza wajiulize kwanini wanaruhusu akili yao kuamini kwenye uzushi wa mitandaoni? Pili hatuna utaratibu wa kupewa taarifa za hali za afya binafsi za viongozi na hutuwezi kuufanya kuwa utaratibu wetu leo hii sababu ya uzushi wa mitandaoni tutaonekana wapumbavu kwa wananchi na hata kwa mataifa ya kigeni.. Na walipaswa kumwelewa vyema rais aliposema anatamani malaika wangeshuka wakaifungia hii mitandao ya kijamii fikirieni kwa fikra pana na dhima ya wanachokifanya Hao wanaosambaza Hizi Taarifa.
Mzee wakati Mkapa alipokuwa naumwa taarifa ziliwekwa bayana na wananchi tukaanza kufanya maombi, na Mkwere alipoumwa umma ulijulishwa na maombi kama kawaida ya Watanzania tulifanya. Tuache kutengeneza ombwe lisilo na maana kama kuna mushkeli wa kiafya wa kiongozi tunao utaratibu mzuri wa kuwajulia hali wagonjwa na kuwaombea kwa mujibu wa dini zetu zinavyoruhusu
 
Kikubwa ni kutakiana kheri katika maisha sio kuonbeana mabaya kwn ukimuombea mabaya asiyesthili yanweza kurud kwako
 
Nani kampa ruhusa ya kwenda huko si aende Mwimbili tu!
Unajuwa ukiangalia ni kama unapata majibu ya maswali yao wenyewe kwa Lissu.
Kwa nini hukupelekwa Muhimbili kwanza baada ya sakata la moshi?
Kwa nini ukapelekwa kwa mabeberu bila kupewa rufaa ya Muhimbili?
Jee fomu za rufaa zilipitishwa lini pale wizarani wakati ilikuwa weekend?
Sahihi ya Rais ya kuruhusu ukatibiwe nje iko wapi? Ok kama ndio we mwenyewe ya Mama jee maana ndio amakamata mikoba ukiwa kitandani hujiwezi?
HITIMISHO;
Utajitibu kwa gharama zako mwenyewe. Baraza lako linaweza kianza na kukuchangia posho ya Sikh mbili kila mmoja.

Kumbe ni mawazo tuu?
 
Kwa Video, TZ kama nchi tunaingia kwenye ramani ya dunia, watu wanaroga mpaka Mkuu tena mchana na hadharani. Sidhani kama kuna nchi inatufikia sasa, si wange mloga usiku kimya kimya tu.hawa wazee wameliabisha taifa.
Ndio maana kuna mtu kasema mbunge wa Ruangwa atumbuliwe kwa aibu hii.
kwa kwi kwi!
 
Back
Top Bottom