Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Watu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.

Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.

Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Kwanini tuwaombee ?, wanatakiwa wajiombee wenyewe, sisi tuna shida zetu nyingi sana, kwani kuwaombea wao na wakati wakati wamekaa huko wanakula maisha mazuri na familia zao na wana uhakika wa kula vizuri maisha yao yote, sisi hatuna uhakika hata wa mwezi ujao, kila mtu abube urushi lake, tusichoshane.
 
This time ameshindwa kutoboa, Wazee wa Ruangwa mna nafasi yenu kwenye ufalme wa mbingu
Tunatishana Sana
Wengine Siyo Waandishi Wa Habari Utawasikia Vigogo Wafa.
😅😄😃🤣😂😁😀😃🤣😂😁😅😄😃
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Ukweli ni kwamba alipata mtafaruku wa siku 2 na alikatisha ziara ya Kibiti na Mkuranga. Hata kama hakupelekwa SA na Germany kama anavyodai Kigogo, ila ukweli ni kwamba bado hali yake tia maji tia maji.
At last kimeumana sasa. Ile Tia maji Tia maji imekwenda kwa miezi 15 tu. Tayari kavimba
 
Wazee was Ruangwa hawatamsamehe kwa kauli aliyotoa ya kupiga.akina shangazi was
...... ! Bora amalizane nao kimya kimya.
Tunatishana Sana
😅😄😃😎😎😂😁😁😀😊😉😆
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Chuki haijengi mkuu,
Ndebile tugawane majukumu. Nyie mnaotaka kumpenda RUKSA. Na sisi tunaomchukia tuacheni ni HAKI yetu. Meko alikosea sana kuiba kura za Serikali za Mitaa za 2019 na za Uchaguzi Mkuu wa 2020. Kuiba kweli dunia nzima inaiba lakini wanaiba kati ya Asilimia 3% na 5%. Huyu Magufuli alijiandikia tu kapata eti 82%? Wako wapi Watanzania wa kumpa hata 30%? Mungu amechukia, hauwezi kuishi!
 
Jiwe anachopaswa kufanya ni kusikia ushauri wa wengine, kuacha matusi na udhalilishaji na kuiacha nchi kwenye misingi ya demokrasia na utawala bora.

Akipuuza, naiona nguvu kubwa ikiteremka kuliko ya Ruangwa.
Ni kweli yametokea kama ulivyoonya mstari wa mwisho
 
Ndebile tugawane majukumu. Nyie mnaotaka kumpenda RUKSA. Na sisi tunaomchukia tuacheni ni HAKI yetu. Meko alikosea sana kuiba kura za Serikali za Mitaa za 2019 na za Uchaguzi Mkuu wa 2020. Kuiba kweli dunia nzima inaiba lakini wanaiba kati ya Asilimia 3% na 5%. Huyu Magufuli alijiandikia tu kapata eti 82%? Wako wapi Watanzania wa kumpa hata 30%? Mungu amechukia, hauwezi kuishi!
So ukimuona anaishi utafanyaje?
 
Serikali za mitaa Mh. Mbowe alitumia mamlaka yake ya katiba ya Chama chake kuwaambia wagombea wake wajitoe...sijuhi hapo alipiga hesabu zipi! Uchaguzi mkuu mkamuachia Mbelgiji apige kampeni nchi nzima bara na visiwani peke yake, hata kuchapisha kipeperushi cha kumnadi mgombea mkashindwa....kama kuna miujiza mikubwa kama ile wa kuigawa bahati ya Sham kwa fimbo ya Musa basi ulikuwa ni muujiza wa Lissu kupata hata wabunge 5,
Kosa jingine ona mtu aliyefika hadi kuwa mgombea urais anavyoshinda twitter akifuatilia ndege iliyobeba mgonjwa kutoka Nairobi, Pakistan, India, hadi Mloganzira!

Nilikwenda Namanyere mjini mkuu wa wilaya ya Nkasi siku mbunge pekee wa CHADEMA anatangazwa mshindi baada ya mabomu ya machozi zaidi ya 100 kupigwa, huu uongo ulioandika hapa wapelekee Lumumba watakusikiliza.
 
Kwa nini tuwaombee ?, wanatakiwa wajiombee wenyewe, sisi tuna shida zetu nyingi sana, kwani kuwaombea wao na wakati wakati wamekaa huko wanakula maisha mazuri na familia zao na wana uhakika wa kula vizuri maisha yao yote, sisi hatuna uhakika hata wa mwezi ujao, kila mtu abube urushi lake, tusichoshane.
Kweli kabisa, kwakuwa wao ni miungu watu, sidhani kama miungu inaombewa!
 
Back
Top Bottom