Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Mkuu zitto junior huyo jamaa me baada ya kusoma alikuwa anawa"#%$%" wanaume wenzie (huku ni Intelligence kila mtu atajua nimemaanisha nini) nikaona haina haja ya kuendelea kumjua kwa kweli!!...
Lakini pia naamini asingeweza kuingia ulaya nzima maana Pope Sixtus IV alikuwa kamuombea crusade tayari, ina maana mataifa ya ulaya yangeungana kujilinda asingeweza kutoboa, ingawa kweli walianza kumuogopa!..
 
Hivi zile shutuma kwamba alikuwa vampire ni za kweli au wazungu tu walitaka kumchafua aonekane shetani
 
Hivi zile shutuma kwamba alikuwa vampire ni za kweli au wazungu tu walitaka kumchafua aonekane shetani
Zilikuwa propaganda tu kumfanya achukiwe na watu kujiunga naye!!.. Kama aliweza kumpiga hadi Vlad III 'dracula' The impaler iweje aje onekana yeye ndio vampire tena!!..
Tatizo huyu Mehmed II nazani ni Mturuki kilichokuwa kinamchukiza na wazungu ile tabia yake ya kupenda wavulana wazuri enzi hizo utamaduni ulikuwa kwa warumi ambapo nao ulikuwa umepotea na hawa Turks kwahiyo akaonekana katili!.
 
Ila mkuu haya mambo sio ya kuangalia upande mmoja hata hao wakatoliki walivamia nchi za ulaya mashariki kama poland hungary na bulgaria wakiwataka wabatizwe waliokataa walichinjwa hiyo ni miaka ya 1000 hivi hivyo miaka zamani dini zote zilitumia mbinu hii

Ila huyu kidogo ilishtua wengi maana alifariki masaa machache kabla hajaenda kufuta dola ya kirumi ndio maana nimekuja kuuliza huku tupate habari za chini ya kapeti isije kuwa alipigwa kipapai na papa
hapa ndio napokupendea....in short hizi dini mbili zimeacha athari kubwa mnooo chini ya hili jua tangia kuletwa kwake ...""
maaana ili dini ipate kusimama pahali nilazima viongozi wahiyo dini waweze kuwa na mlengo wakuwa na nguvu ya kidola na ushawishi .....sasa hakuna dola ambayo imewahi kusimama duniani pasipo kumwaga damu za watu "" ni uwongo
 
Back
Top Bottom