Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Zilikuwa propaganda tu kumfanya achukiwe na watu kujiunga naye!!.. Kama aliweza kumpiga hadi Vlad III 'dracula' The impaler iweje aje onekana yeye ndio vampire tena!!..
Tatizo huyu Mehmed II nazani ni Mturuki kilichokuwa kinamchukiza na wazungu ile tabia yake ya kupenda wavulana wazuri enzi hizo utamaduni ulikuwa kwa warumi ambapo nao ulikuwa umepotea na hawa Turks kwahiyo akaonekana katili!.
duuuhhgghh kwahiyo Jamaa alikuwa ana &#**$ wenzie ??
 
aiseee....hiyo laana kumbe ndio maaana alikufa kiboya "" hiyo dini alikuwa anaitangaza vipi sasa wakati alikuwa mshenzi "" yaani anahubiri watu wafnye mambo ambayo yeye mwenyew yanamshinda ...huu ulimwengu bwana
Enzi hizo ujanja kuwa na kakijana kadogo pembeni yako kutolea hamu!. Kama nilivyosema hata watu wa Rumi walikuwa wanafanya hicho kitu!.. Ni ushenzi kwa sasa lakini ulikuwa utaratibu wao zamani!.
 
Mkuu sio huyo Mehmet II tu ..........Ukifuatilia historia ya Europe 711 AD ilivamiwa na Arabic Moors kutoka North Africa maeneo ya Morroco chini ya Tariq bin Ziyaid wakipitia Spain na waliiconqure sehemu kubwa ya spain na Portugal wakaenda mbali zaidi wakaivamia France enzi hizo ikijulikana kama Frankish Kingdom na hii ilikuwa chini ya imani ya kikatoliki ( kikiristo ) kukawa na battle kubwa na kali sana hapo kati ya hawa Moors na Frankish army ............Frankish army army wakafanikiwa kuwadefeat waarabu na kubwa drive back to Spain na Portugal na baadaye waarabu wakaretreat mazima na ndo maana leo hii kuna maeneo ya Spain na Portugal yana tamaduni za kiarabu na kiislamu kabisa..........
 
Nimekuelewa mkuu
 
Hii ya kuchinja watu mji mzima ni story tu,
huyu mtu ana history ndefu mno wikipedia imeandika vizuri,
aliteka cremea,serbia,bosinia,costantinople etc.
Katika costatinople aliwateuwa ndugu wa constantine II kushika madaraka na akaruhusu watu wa dini mbalimbali kusettle mjini hapo.

Kama isemavyo paragraph ya wikipedia hapa,

sijui kati ya huyu na suleiman the great nani aliteka maeneo kumzidi mwenzie,ila waturuki enzi hizo walitisha sana.

Mehmed’s main concern with Constantinople was with rebuilding the city’s defenses and repopulation. Building projects were commenced immediately after the conquest, which included the repair of the walls, construction of the citadel, and building a new palace. ]67[To encourage the return of the Greeks and the Genoese who had fled from Galata, the trading quarter of the city, he returned their houses and provided them with guarantees of safety. Mehmed issued orders across his empire that Muslims, Christians, and Jews should resettle in the City demanding that five thousand households needed to be transferred to Constantinople by September. ]67[From all over the Islamic empire, prisoners of war and deported people were sent to the city; these people were called "Sürgün" in Turkish ) Greek:σουργούνιδεςsourgounides; "immigrants"(. ]68[
Mehmed restored the Ecumenical Orthodox Patriarchate )6 January 1454( and established a Jewish Grand Rabbinate ) Ḥakham Bashi( and the prestigious Armenian Patriarchate of Constantinoplein
 
Back
Top Bottom