Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo ukatoliki waliendesha vita yakuwalazimisha watu kuwa wakristo kwakuua .vita maarufu kwa jina la crusaide .
Tukisema leo ukatoliki uliua watu wengine wanatubishia kwasababu tunasoma historia za kuanzia mwaka 1800zaidi.
Baada ya katoliki kushindwa kuwateka uturuki ndipo iliporudi nakuamua kubadili mbinu
Mkuu kuna vitu unavijua 'KINAGA UBAGA'kuhusiana na hii mada.Ni vema ukatushirikisha na sisi mana wengi tunataka tufahamu vyema historia nzima ya huyu jamaaHongera kwa kuanzisha uzi murua kabisa.
Hemed II kimsingi aliugua na kufariki dunia mwaka 1481 akiwa katika kampeni ya kivita huko Italy, japo mpango ulikuwa pia kuikamata Misri.
Ugonjwa uliomuua mpaka leo haujafahamika.
Lakini kabla ya mauti yake alikuwa mtu anayesumbuliwa sana na magonjwa ya viungo kwa muda mrefu hali iliyopelekea mpaka mguu wake mmoja kuharibika kabisa(kuwa deformed), pia alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa gout.
Siku mbili kabla ya kifo chake aliugua ugonjwa wa tumbo na hakuweza kabisa kutokea kwenye ukaguzi wa vikosi vyake kama ilivyo ada ya wababe wa kivita kwa wakati huo.
Lakini taarifa za siri kutoka Ottoman Empire zinasema aliwekewa sumu na mtoto wake wa kwanza ambaye alikuwa pia mrithi wake mtarajiwa aliyejulikana kwa jina la Bayezid kwa sababu ya uchu wa madaraka.
Ikumbukwe kuwa Hemed II alikuwa na miaka 49 tu wakati mauti inampata, kwa picha hio ina maana kuwa alikuwa bado na safari ndefu sana ya kutawala, almost miaka 40 mbele, kitu ambacho dogo aliona kama "kinamchelewesha", ikabidi amuwahishe baba mapema.
Asante sana mkuu, ni kweli Hispania na Moroko wako karibu mno, ni kweli Ukatoliki bado una nguvu sana Hispania, Ureno, Ufaransa na PolandSpain ilivamiwa na kugeuzwa islamic country kimabavu kabla haija kombolewa tena. Ilivamiwa kutokea Moroko. Tangu hapo kulikua na maingiliano makubwa kati ya Spain na Moroko. Raia wa Morocco walikua hawahitaji visa kwenda spain hadi mwaka 1985 utaratibu ulipobadirika ambapo spain ilikua ikifuata vigwzo vya kujiunga na umoja wa l
Waislam ni asilimia 4 ya population ya watu hispania. Ingawa 58% ya population ya waislam wa spain ni wale wasiokua na uraia wa spain.
mkuu unapomuita mhuni kama alexander eti the great unanichefuaTofauti ya Alexndra the great na mehemet ni kuwa,huyu wa kwanza alikuwepo miaka 1700 kabla ya huyu wa Turkey.
Kipindi bado wanapigana kwa mikuki,mishale na mapanga,
huyu wa Turkey ni mwaka 1400 BC wakati silaha za moto zishaanza kutumika,
Alexndra alikuwa mfalme wa macedonia ambae kipindi chake ndo aliuangusha ufalme wa persia ambao ulikuwa ushadhoofika mno kipindi hicho,
Alexndra alifika mpaka india lakini kabla hajaiteka india alirudi nyuma kurudi hadi arabia,
alifariki babylon wakati akijiandaa na kampeni ya kuteka maeneo ya arabia
Ingia hata wewe hapo, edit uongeze cha kwako. It will look the way you want it to be. Tafuta sources tofauti na hiyo.Pitia hapa mkuu mwaka 1095 ndio wakristo walianza kuchinja watu wote waliokataa kubatizwa
Crusades - Wikipedia
Ni propaganda tu hii....UISLAMU unafanana zaid na uyahud kuliko ukristo....kwa sabab katka series ya mitume wote na the same bloodline na Muhamamad alitumwa kuja kukamilisha kile kilichoanzishwa na nabii Adam....hakuja na jipya sana isipokuwa Quran tukufu ambayo n mjumuisho wa Torati la kweli, zaburi iliosahih, injili ya kweli na Quran yenyewe iliokamilisha mfumo sahihi wa maisha uliokusudiwa na Mwenyezi.......ndio maana hutoona tofauti kubwa baina ya Uyahudi na Uislam. Mtume Muhammad n wa mwisho katka ile bloodline ya kitume toka kwa Nabii Ibrahim(Baba wa Mitume)
Hoja kuwa uislam umeanzishwa na RC Church.....n propaganda zisizo na mashiko lengo kuwahadaa watu waone kumbe dini hiz za kimapokeo n mpango tu wa Majesuits......
Mfananano wa Propaganda hii ni kama ile ya kusema vyama vyote vya Upinzani Tanzania vilianzishwa na CCM lengo wafadhili waone eti tuna democracy-Ni Urongo wa dhahir kabsa !! Vipo baadh lakin hilo halihalilish zoezi zima !! Hivyo kama kuna matawi ya U-RC yalotokana na U-RC sawa lakin hilo haliwez kushajihisha kuwa uislam umeanzishwa na Ukatolik !!
ujadili kwa lugha ya staha na kwa hoja.hongera unahamasisha manidiliano ya hoja.Ni propaganda tu hii....UISLAMU unafanana zaid na uyahud kuliko ukristo....kwa sabab katka series ya mitume wote na the same bloodline na Muhamamad alitumwa kuja kukamilisha kile kilichoanzishwa na nabii Adam....hakuja na jipya sana isipokuwa Quran tukufu ambayo n mjumuisho wa Torati la kweli, zaburi iliosahih, injili ya kweli na Quran yenyewe iliokamilisha mfumo sahihi wa maisha uliokusudiwa na Mwenyezi.......ndio maana hutoona tofauti kubwa baina ya Uyahudi na Uislam. Mtume Muhammad n wa mwisho katka ile bloodline ya kitume toka kwa Nabii Ibrahim(Baba wa Mitume)
Hoja kuwa uislam umeanzishwa na RC Church.....n propaganda zisizo na mashiko lengo kuwahadaa watu waone kumbe dini hiz za kimapokeo n mpango tu wa Majesuits......
Mfananano wa Propaganda hii ni kama ile ya kusema vyama vyote vya Upinzani Tanzania vilianzishwa na CCM lengo wafadhili waone eti tuna democracy-Ni Urongo wa dhahir kabsa !! Vipo baadh lakin hilo halihalilish zoezi zima !! Hivyo kama kuna matawi ya U-RC yalotokana na U-RC sawa lakin hilo haliwez kushajihisha kuwa uislam umeanzishwa na Ukatolik !!
Kwa hiyo kipaombele kingine ni kuwala tigo wanaume wenzake ili kyfanikiwa kusambaza!!! au sijakueleqa bado??kasifiwa kuwa shujaa aliyeeneza imani yake !!! hilo nijambo moja tunalolijua kuhusu yeye "" vipi maisha yake ya upande wapili "" mtu yoyote anayepigana vita huwa Tayari anakuwa na mbinu za kijasusi ....na anapoamua kufnya hvyo na lazima atakuwa ni vipaumbele vyake ambavyo vinamfnya ayataoe maisha yake kwaajili yakupigana vita na kutawala"" hapa tumeelezwa kipaumbele kimoja tu cha kuieneza hiyo dini ""
nikweli hujanielewa mkuu""Kwa hiyo kipaombele kingine ni kuwala tigo wanaume wenzake ili kyfanikiwa kusambaza!!! au sijakueleqa bado??
Kilichodmfanya uamini ni nini?Duh hii mbona kali mkuu..... Dunia ina siri nyingi sana hii
Naheshimu tu mawazo yake hata kma sikubaliani nayo ili nijifunze zaidi kukataa au kupinga huwezi ongeza maarifa hivyo navyofungua uzi chochote nachoambiwa lazima nikipokee alafu nakichambua but kupinga hakutonisaidia kuelewa na kuongeza maarifaKilichodmfanya uamini ni nini?
😀😀😀😀 asee kumbe papa hatari!!Alirogwa na papa, mchana alipigwa zongo kali sana la tumbo, usiku akapigwa kipapai cha msukule moja kwa moja hakuamka
😀😀😀😀 asee kumbe papa hatari!!
Ila Napoleon Bournaparte aliweza na akamfunga Papa gerezani bila kuzuiwa na mtu yeyote wala kufa.Hata Spartacus na wenzake walijaribu kuvamia roma ila walishindwa...
sharif majiniWaislam wanaabudu majini??? Duh hii elimu umeitoa wapi mkuu embu tupe data zaidi maana ndio nasikia leo
Siku zote kama lengo lako ni kuelewa zaidi, basi wewe bisha, coz unampa nafasi mwenzako kuingia deep zaidi (Kama anajua).Naheshimu tu mawazo yake hata kma sikubaliani nayo ili nijifunze zaidi kukataa au kupinga huwezi ongeza maarifa hivyo navyofungua uzi chochote nachoambiwa lazima nikipokee alafu nakichambua but kupinga hakutonisaidia kuelewa na kuongeza maarifa