kasifiwa kuwa shujaa aliyeeneza imani yake !!! hilo nijambo moja tunalolijua kuhusu yeye "" vipi maisha yake ya upande wapili "" mtu yoyote anayepigana vita huwa Tayari anakuwa na mbinu za kijasusi ....na anapoamua kufnya hvyo na lazima atakuwa ni vipaumbele vyake ambavyo vinamfnya ayataoe maisha yake kwaajili yakupigana vita na kutawala"" hapa tumeelezwa kipaumbele kimoja tu cha kuieneza hiyo dini "" vip kuhusu tamaa ya utawala na kumiliki hizo nchi alizoziteka maana zinarasilimali watu na ardhi pia"" "? huwezi kuona kuwa Jamaa alikuwa na maslahi yake mengine pia kwaajili ya kuwa na nguvu ya kijeshi .kiutawala .na Mali""
pia kitendo cha kishetani nihuko kuwa na jisi wanaume wenzake "" dini zote mbili katika maandiko yao zimekubaliana kuwa hicho kitendo nicha kulaaniwa na hata dini za mababu/mabibi zinapinga kitendo kama hcho"" so waweza jiuliza wakati yeye anakifnya alikuwa amlnakifnya kwa ruksa ya imani ipi """? kam sio ushetani !?