Nini kilipelekea 1 Us dollar kubadilishwa kwa shilingi za kitanzania 7 mwaka 1960 mpaka shilingi 2600 mwaka 2024 ?

Nini kilipelekea 1 Us dollar kubadilishwa kwa shilingi za kitanzania 7 mwaka 1960 mpaka shilingi 2600 mwaka 2024 ?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .

2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.

Screenshot_20240723-143037.png

Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho

Kuna sababu kadhaa kama vile;
1. Ushauri wa
IMF wa kushusha thamani ya shilingi (ambao Mwalimu na washauri wake wa uchumi waliukataa katakata) wakati wa SAP.

2. Matumizi/ mahitaji makubwa ya fedha za kigeni hususani USD wakati huohuo mapato ya USD yatokanayo na mauzo ya bidhaa na huduma zetu nje kuwa kiduchu.

3. Deni kubwa la nje, sehemu kubwa ya mapato kiduchu ya kigeni yanatumika kulipa madeni na riba za mikopo iliyochukuliwa kwa pupa na serikali hususani kuanzia awamu ya nne mpaka sasa.
 
Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1960 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .

2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.

View attachment 3049955

Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho

View attachment 3049959
1. No balance of Trade: Much higher import than export, with almost zero export.
2. Money devaluation and higher inflation rates.
3. Bad if not worse Political Regimes within the Country, ambazo kwa upande mwingine zimesababisha 'uncertenities' katika nyanja zote kabisa za maisha ya Wananchi.,
4. Elimu duni na isiyokuwa sahihi kwenye masuala ya Uchumi, ikiwemo na Financial Economics, n.k, n.k.
 
Mzungu atabakia kuwa mzungu tu - alivyoondoka tu 1961 ukaja utawala wetu kila mtu anaujua uchumi. Hadi leo tunahangaika, bidhaa za mchina zimejaa nchi nzima - kila mwenye mtaji wa 10m anakwenda china kukusanya makolokolo hadi madoli ya watoto na makasha ya kuwekea sabuni za kuogea - mchina kabakia kutuoa aisee.
 
1. No balance of Trade: Much higher import than export, with almost zero export.
2. Money devaluation and higher inflation rates.
3. Bad if not worse Politics Regime within the Country, ambazo kwa upande mwingine zimesababisha 'uncertenities' katika nyanja zote kabisa za maisha ya Wananchi.,
4. Elimu duni na isiyokuwa sahihi kwenye masuala ya Uchumi, ikiwemo na Financial Economics, n.k, n.k.
Kwa hiyo ndiyo kusema Wachumi wote waliojazana serikalini wamekosa kabisa suluhu ya kuirejesha thamani ya shilingi yetu!! Yaani miaka inavyozidi kwenda na thamani nayo inazidi tu kushuka!!
 
Kwa hiyo ndiyo kusema Wachumi wote waliojazana serikalini wamekosa kabisa suluhu ya kuirejesha thamani ya shilingi yetu!! Yaani miaka inavyozidi kwenda na thamani nayo inazidi tu kushuka!!
Tate Mkuu nchi hii haiendeshwi kwa kufuata utalaamu. Nchi yetu inaendeshwa kwa matamko na amri za watawala wakuu.
 
Na huo ulazima wa kushusha thamani ya pesa ili Nchi ipate mikopo lilimfanya Mwalimu kuchukua maamuzi magumu ya kung’atuka kwenye uongozi !
Alisema hawezi kukubali kugeuka jiwe 🙌👍
Alitupiga changa la macho ili asipate lawama

Zanzibar ilikuwa na pauni zaidi ya millioni 600 kwenye Bank ya narodny Bank uingereza , alizichukuwa kulipia vita yake na Uganda
 
Back
Top Bottom