Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa!Vita ya mwaka 1979 siyo chanuo cha matatizo ya leo. Tatizo niseraza tawalazilizofuatiabaada ya hapo. Rwanda walipigana vita ya wenyewe kwa wenyewe na Kuran’a sana lakini mbona baada ya Vita hiyo uçağımı wao ukawa stable wakati sisi bado Tunayumba tu.
Economic development vs Economic growth 📈Uchumi wa nchi haupimwi kwa thamani ya pesa yake.
Utawala wa Rais Benjamin William Mkapa kwa kiasi chake ulijitahidi Sana katikà ku-deal na suala hili la stability ya sarafu ya nchi hii ya Tanzania. Rais Mkapa alijitahidi Sana kwenye suala hili, na Mpango huo wa ku-stabilize shilingi ya Tanzania aliuita kwa Jina la "Kurekebisha Uchumi."Kwa hiyo ndiyo kusema Wachumi wote waliojazana serikalini wamekosa kabisa suluhu ya kuirejesha thamani ya shilingi yetu!! Yaani miaka inavyozidi kwenda na thamani nayo inazidi tu kushuka!!
Lakini thamani ya pesa pia ni kigezo mojawapo katikà kupima Uchumi wa nchi.Uchumi wa nchi haupimwi kwa thamani ya pesa yake.
Wachina wanajitahidi sana pesa yao isipande thamani.Economic development vs Economic growth 📈
Five years after independence in 1961, the Tanzanian shilling replaced the East African shilling as the nation's official currency.Hakukuw
Hakukuwa na Shillingi ya Tanzania 1960, hata Tanzania yenyewe haikuwepo.
Tusisomeshane ujinga.
UmechanganyaMahitaji ya kuimport ni makubwa sana , lazima ushushe thamani ya pesa yako ili upate bidhaa
China wanafanya makusudi pesa yao iwe na thamani ndogo ili wachochee exports.Lakini thamani ya pesa pia ni kigezo mojawapo katikà kupima Uchumi wa nchi.
Mkapa alikuwa anauza nchi na kupata madolari ndiyo maana dola haikupanda sana. Yaani aliowauzia viwanda, benki na mali zingine za serikali walileta dola nchini na kufanya ipatikane na hivyo isipande thamani.Utawala wa Rais Benjamin William Mkapa kwa kiasi chake ulijitahidi Sana katikà ku-deal na suala hili la stability ya sarafu ya nchi hii ya Tanzania. Rais Mkapa alijitahidi Sana kwenye suala hili, na Mpango huo wa ku-stabilize shilingi ya Tanzania aliuita kwa Jina la "Kurekebisha Uchumi."
Bei za bidhaa mbali mbali zilibaki stable katika kipindi chote Cha Utawala wake, hazikubadilika badilika, japokuwa pesa ilikuwa ngumu Sana kupatikana. Pesa ziliadimika mitaani.
Imports vs exports japo pia Kuna ishu ya kutumia zaidi hela ya kigeni kwenye malipo ndani ya Nchi badala ya Fedha yenu.Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1961 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
View attachment 3049955
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
View attachment 3049959
China kuendelea kung'ang'ania pesa yake iwe na thamani ndogo Kama inavyofanya hivi sasa ni kwa sababu inataka kuendelea kukwepa Vikwazo vya Kibiashara vya Kimataifa vilivyowekwa na Mikataba ya UN chini ya Taasisi ya Kibiashara ya Umoja wa Mataifa (WTO). Soma hizo Sheria/Mikataba ya UN iliyoanzisha WTO ndio utaelewa sababu za kwa nini China haitaki pesa yake iwe na thamani kubwa, sambamba na nchi hiyo ya China kukataa kuitwa kuwa ni "Developed Country," badala yake inataka kuendelea kubaki kuitwa kwa jina la "Developing Country" wakati ina uchumi mkubwa sana duniani pia Ina maendeleo makubwa.Wachina wanajitahidi sana pesa yao isipande thamani.
Ikipanda wanaishusha kwa makusudi.
Kimkakati, ili uchumi wao unaotegemea exports ufanye vizuri.
Wanaona pesa yao ikiwa na thamani ndogo ndiyo itachochea uchumi wao kuwa mzuri. Kwa kuchochea exports zaidi.
Pesa kuwa na thamani kubwa au ndogo si tatizo.
Tatizo ni, una mkakati gani wa kuitumia thamani yoyote ya pesa yako ili uwe na uchumi mzuri.
Tatizo hatuna strategy hata ya kutumia hiyo pesa isiyo na thamani kuwa na uchumi mzuri.
Tungekuwa na strategy kama ya China, tungeweza kuipigania pesa yetu isipande thamani na vile vile kujenga uchumi mzuri wa export.
Tatizo si thamani ya pesa, thamani ys pesa hata Benki Kuu inaweza kuibadilisha siku moja tu.
Tatizo ni uzalishaji, tatizo ni mkakati.
Na kwa kuongezea tu, wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikivunjika mwaka 1977, pound moja ya Kiingereza ilikuwa sawa na shilingi ishirini za Tanzania.Source yako siyo sahihi. Mpaka mwaka 1979, shillingi ya Tanzania ilikuwa imebebeshwa kwenye pauni ya kiingereza ikiwa ni pauni moja kwa Sh 20, ambayo ilikuwa Sawa na dola moja kwa shillingi 5 siyo Sh 7 kama ulivyoandika. Neno dala dala lınatokana na nauli kuwa shillingi tano tano wakati huo
Jimbo ni kwamba ikiacha hela iwe na thamani kubwa itaumiza exports zake zitakuwa expensive so ikiwa na thamani ndogo inakuwa less expensiveChina kuendelea kung'ang'ania pesa yake iwe na thamani ndogo Kama inavyofanya hivi sasa ni kwa sababu inataka kuendelea kukwepa Vikwazo vya Kibiashara vya Kimataifa vilivyowekwa na Mkataba wa UN chini ya Taasisi ya Kibiashara ya Umoja wa Mataifa (WTO). Soma hizo Sheria/Mikataba ya UN iliyoanzisha WTO ndio utaelewa sababu za kwa nini China haitaki pesa yake iwe na thamani kubwa, sambamba na nchi hiyo ya China kukataa kuitwa kuwa ni "Developed Country," badala yake inataka kuendelea kubaki kuitwa kwa jina la "Developing Country" wakati ina uchumi mkubwa sana duniani pia Ina maendeleo makubwa.
Watu wasomi kama wakina Mwigulu sijui kwa nini hawaoni mambo kama haya? Anafanya kazi kama mhasibu kuliko kama mchumi!! Hata kitendo cha kuimarika tu kwa Sh ya Kenya hivi majuzi kilitakiwa kifanye tuwanyang'anye watalii na manufacturing jobs, cha ajabu kimetuongezea gharama za bidhaa tunazoagiza huko!Wachina wanajitahidi sana pesa yao isipande thamani.
Ikipanda wanaishusha kwa makusudi.
Kimkakati, ili uchumi wao unaotegemea exports ufanye vizuri.
Wanaona pesa yao ikiwa na thamani ndogo ndiyo itachochea uchumi wao kuwa mzuri. Kwa kuchochea exports zaidi.
Pesa kuwa na thamani kubwa au ndogo si tatizo.
Tatizo ni, una mkakati gani wa kuitumia thamani yoyote ya pesa yako ili uwe na uchumi mzuri.
Tatizo hatuna strategy hata ya kutumia hiyo pesa isiyo na thamani kuwa na uchumi mzuri.
Tungekuwa na strategy kama ya China, tungeweza kuipigania pesa yetu isipande thamani na vile vile kujenga uchumi mzuri wa export.
Tatizo si thamani ya pesa, thamani ys pesa hata Benki Kuu inaweza kuibadilisha siku moja tu.
Tatizo ni uzalishaji, tatizo ni mkakati.
Hapa tunaona kuwa.China kuendelea kung'ang'ania pesa yake iwe na thamani ndogo Kama inavyofanya hivi sasa ni kwa sababu inataka kuendelea kukwepa Vikwazo vya Kibiashara vya Kimataifa vilivyowekwa na Mkataba wa UN chini ya Taasisi ya Kibiashara ya Umoja wa Mataifa (WTO). Soma hizo Sheria/Mikataba ya UN iliyoanzisha WTO ndio utaelewa sababu za kwa nini China haitaki pesa yake iwe na thamani kubwa, sambamba na nchi hiyo ya China kukataa kuitwa kuwa ni "Developed Country," badala yake inataka kuendelea kubaki kuitwa kwa jina la "Developing Country" wakati ina uchumi mkubwa sana duniani pia Ina maendeleo makubwa.
Kaharibu nchi.CCM kafanyaje
Watanzania wengi wanataka majibu rahisi kwa maswali magumu, kufanya uchambuzi wa kina ulio na habari nyingi zinazokinzana ni tatizo.Watu wasomi kama wakina Mwigulu sijui kwa nini hawaoni mambo kama haya? Anafanya kazi kama mhasibu kuliko kama mchumi!! Hata kitendo cha kuimarika tu kwa Tsh ya Kenya hivi majuzi kilitakiwa kifanye tuwanyang'anye watalii na manufacturing jobs, cha ajabu kimetuongezea gharama za bidhaa tunazoagiza huko!
Fungua kiwanda Cha midoli,makasha ya sabuni,tooth pick nk.. unasubiri nani afungue!?Mzungu atabakia kuwa mzungu tu - alivyoondoka tu 1961 ukaja utawala wetu kila mtu anaujua uchumi. Hadi leo tunahangaika, bidhaa za mchina zimejaa nchi nzima - kila mwenye mtaji wa 10m anakwenda china kukusanya makolokolo hadi madoli ya watoto na makasha ya kuwekea sabuni za kuogea - mchina kabakia kutuoa aisee.
Na mpaka Leo wahuni wa zamani 20 tunaita pauniSource yako siyo sahihi. Mpaka mwaka 1979, shillingi ya Tanzania ilikuwa imebebeshwa kwenye pauni ya kiingereza ikiwa ni pauni moja kwa Sh 20, ambayo ilikuwa Sawa na dola moja kwa shillingi 5 siyo Sh 7 kama ulivyoandika. Neno dala dala lınatokana na nauli kuwa shillingi tano tano wakati huo