Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
pesa za tz hazina thamani tenaKaribuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1960 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
View attachment 3049955
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
View attachment 3049959

Ni uvivu wenu watanzania.Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1960 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
View attachment 3049955
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
View attachment 3049959
Mahitaji ya kuimport ni makubwa sana , lazima ushushe thamani ya pesa yako ili upate bidhaa
CCM kafanyajeAliyesababisha hayo ni nani kama si CCM ??
CCM kafanyaj
1. No balance of Trade: Much higher import than export, with almost zero export.Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1960 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
View attachment 3049955
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
View attachment 3049959
Kiongizi ni duka lipi wanabadilisha kwa rate hiyo....!!???ili nikimbilie huko Na kuwaelekeza wana ili tukazichote!??Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1960 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
View attachment 3049955
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
View attachment 3049959
Kwa hiyo ndiyo kusema Wachumi wote waliojazana serikalini wamekosa kabisa suluhu ya kuirejesha thamani ya shilingi yetu!! Yaani miaka inavyozidi kwenda na thamani nayo inazidi tu kushuka!!1. No balance of Trade: Much higher import than export, with almost zero export.
2. Money devaluation and higher inflation rates.
3. Bad if not worse Politics Regime within the Country, ambazo kwa upande mwingine zimesababisha 'uncertenities' katika nyanja zote kabisa za maisha ya Wananchi.,
4. Elimu duni na isiyokuwa sahihi kwenye masuala ya Uchumi, ikiwemo na Financial Economics, n.k, n.k.
Na huo ulazima wa kushusha thamani ya pesa ili Nchi ipate mikopo lilimfanya Mwalimu kuchukua maamuzi magumu ya kung’atuka kwenye uongozi !Mahitaji ya kuimport ni makubwa sana , lazima ushushe thamani ya pesa yako ili upate bidhaa
Tate Mkuu nchi hii haiendeshwi kwa kufuata utalaamu. Nchi yetu inaendeshwa kwa matamko na amri za watawala wakuu.Kwa hiyo ndiyo kusema Wachumi wote waliojazana serikalini wamekosa kabisa suluhu ya kuirejesha thamani ya shilingi yetu!! Yaani miaka inavyozidi kwenda na thamani nayo inazidi tu kushuka!!
Alitupiga changa la macho ili asipate lawamaNa huo ulazima wa kushusha thamani ya pesa ili Nchi ipate mikopo lilimfanya Mwalimu kuchukua maamuzi magumu ya kung’atuka kwenye uongozi !
Alisema hawezi kukubali kugeuka jiwe 🙌👍