Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Pale mzee wa nyagi Mbowe alipolamba asali. vijana wamepigwa hadi virungu yeye akiwa gerezani, kesho yake wakashangaa yupo Ikulu na bitukinao.huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
Upo sawa mkuu, ndio maana nikasema binafsi.ili kushuka dola lazima uaminike,
lakini pia,
ili uaminike,
lazima uwe mwaminifu mwenye maono, mipango, ushawishi wenye sera za kuvutia wananchi, lakini pia lazima uwe mwenye bidii na weledi kwenye kufanya maamuzi magumu ya kuwaunganisha wananchi
hata hivyo,
ahadi za upinzani ni zipi tangu mfumo wa vyama vingi kanzishwa
hapana utani aise, tena kwenye mambo muhimu na ya maana kama haya,...Yani tusiwaamini watu nnaowasajili kwa dau kubwa na wakija kwenu mnawapa namba muhimu huku wakwenu wakikaa benchi. Hope unatania.
hata kumnunuliwa Lisu gari hawataki, jamaa akaanza kufanay donei, na chairman kaminya kimyaaa hata donei hakuhamasisha. Lisu anapata shida sana na hana hata kwa kwenda mskini.Wanakula Ruzuku TU hawajawahi kugawa hata Bajaj kwa Wananchi fungu lote wanagawana wenyewe, CCM inagawa na kurudisha kwa Jamii na Jamaa ee bwana anaekupa na asiekupa unamfuata yupi? Wewe chukulia tu Mtoto mdogo huku kuna Jamaa kashika Boksi la Eatsammo alafu huku kuna lijimaa halina chochote Mkononi Wewe unaenda upande gani? Mwenye nacho ataongezewa Mkono wa birika hapana TOA upokee Mkono unaotoa ndio mkono unaopokea, wapinzani hayo maburungutu sio mnayala peke yenu wageeni na Wananchi bring back to society come on you know what? something is better than nothing & I understand someone will come here and say inazungumza Bangi hii hakuna kitu rubbish Ila ukweli umewafikia hata kwa njia ya mmea
una hoja yenye mashiko mno,Kwangu mimi,nimekuwa na itikadi za mrengo wa kushoto dhidi ya serikali,nimesoma sana magazeti ya ya MwanaHalisi na Tanzania Daima yalikuwa na upinzani mkubwa dhidi ya serikali. Wanasiasa kina Slaa,Zito Kabwe,Kafulila,Mnyika,Mchungaji Msigwa,Prof Kitila Mkumbo,Prof Mwesiga Baregu na wengineo walikuwa wananikosha sana Na Agenda kubwa ya Ufisadi katika Serikali. Mara tuliyeaminishwa ni fisadi mkuu akaingia Chadema,akawa mgombea uraisi,tulioamini wanajua zaidi tukawasikiliza wakabadili kauli,Lowasa sio Fisadi. Kwangu ilikuwa ngumu kumeza,nilikataa kuwa bendera fuata upepo. Imani yangu kwa Chadema na itikadi zao ikaishia hapo.
Katika nchi hii wapinzani ni CCM. Maana ni wao ndio wanapinga maendeleo ya nchi. Imagine miaka 60 ya uhuru, ila bado kuna shule wanafunzi wanakaa chini, japokuwa tuna misiti na miti ya kutosha.huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
Yaani walivunja rekodi.akawa tena sio fisadi bali ni malaika msafi kama pamba, dah
dah aise..hata kumnunuliwa Lisu gari hawataki, jamaa akaanza kufanay donei, na chairman kaminya kimyaaa hata donei hakuhamasisha. Lisu anapata shida sana na hana hata kwa kwenda mskini.
mbadala yuko wap sasa ili wanafunzi hao wasikae chini?Katika nchi hii wapinzani ni CCM. Maana ni wao ndio wanapinga maendeleo ya nchi. Imagine miaka 60 ya uhuru, ila bado kuna shule wanafunzi wanakaa chini, japokuwa tuna misiti na miti ya kutosha.
umeandika ukweli wa wazi sana,Wanakula Ruzuku TU hawajawahi kugawa hata Bajaj kwa Wananchi fungu lote wanagawana wenyewe, CCM inagawa na kurudisha kwa Jamii na Jamaa ee bwana anaekupa na asiekupa unamfuata yupi? Wewe chukulia tu Mtoto mdogo huku kuna Jamaa kashika Boksi la Eatsammo alafu huku kuna lijimaa halina chochote Mkononi Wewe unaenda upande gani? Mwenye nacho ataongezewa Mkono wa birika hapana TOA upokee Mkono unaotoa ndio mkono unaopokea, wapinzani hayo maburungutu sio mnayala peke yenu wageeni na Wananchi bring back to society come on you know what? something is better than nothing & I understand someone will come here and say inazungumza Bangi hii hakuna kitu rubbish Ila ukweli umewafikia hata kwa njia ya mmea
aise umeandika kitu kizito na muhimu mno,Kwa mara ya kwanza niliwadharau na kutowaamini tena wapizani wa bongo wakati wa utawala wa hayati Magufuli.
Kwakipindi chote walikuwa wanahubiri ufisadi na uzembe ulio kithiri kwenye office za uma.
Magufuli alijaribu kwa uwezowake kupambana na wahuni wanao itafuna nchi na kujaribu kuweka misingi ya udhibiti wa mapato kwakuelekeza malipo yote ya serikali yafanyike kwa control namba na juhudi nyingine zote alizo fanya kwaajili ya maendeleo ya taifaletu lakini wapizani wakamchukia sana.
Ndio maana nimeamua kuwapuuza kwasababu wanacho tuhubiria kwenye majukwaa nitofauti na kinacho endelea mioyonimwao, nimewa group kwenye kapu moja na mafisadi ya nchi hii.
And that's my reason why I don't trust those people!.
Acheni kuiba kura ili mumuone mbadala wenumbadala yuko wap sasa ili wanafunzi hao wasikae chini?
ana mipango na anaaminika kweli?
just imagine, ameenda gerezani vijana wameacha hadi kazi wanaandamana kwa ajili yake, wanashinda mahakamani kila siku ya kesi, wanastukia tu yupo ikulu anakunywa chai. halafu pia, amepinga kina covid 19 wee, mwisho wakapewa malimbikizo ya ruzuku zote, na bado wanazipokea, ila hawana hela ya kununua gari ya Lisu aliyepigwa risasi kwenye harakati hizo hizo na hajahamasisha hata kuchangia, hivi mbowe angeamka siku moja tu, hata kwa tweet tu akasema NAOMBA TUMCHANGIE LISU GARI, mbona zingejaa kesho yake. hadi kina Maria sarungi na wengine wamehamasisha jamaa kapata kadhaa na hazijatosha hadi leo na bado hajasema hicho kilichobaki wacha nikuongezee. kwani ruzuku zinafanya kazi gani? mbona Lisu ana matunda sana kwenye safari zake, anahamasisha wananchi kuliko hata mbowe mweneywe. lakini ndio hana gari. hata ile alipigiwa risasi ilikuwa kwa sababu ya ubunge wake.dah aise..
kuna mambo ya siasa upinzani ni imotional sana saa zingine dah
dah aise...just imagine, ameenda gerezani vijana wameacha hadi kazi wanaandamana kwa ajili yake, wanashinda mahakamani kila siku ya kesi, wanastukia tu yupo ikulu anakunywa chai. halafu pia, amepinga kina covid 19 wee, mwisho wakapewa malimbikizo ya ruzuku zote, na bado wanazipokea, ila hawana hela ya kununua gari ya Lisu aliyepigwa risasi kwenye harakati hizo hizo na hajahamasisha hata kuchangia, hivi mbowe angeamka siku moja tu, hata kwa tweet tu akasema NAOMBA TUMCHANGIE LISU GARI, mbona zingejaa kesho yake. hadi kina Maria sarungi na wengine wamehamasisha jamaa kapata kadhaa na hazijatosha hadi leo na bado hajasema hicho kilichobaki wacha nikuongezee. kwani ruzuku zinafanya kazi gani? mbona Lisu ana matunda sana kwenye safari zake, anahamasisha wananchi kuliko hata mbowe mweneywe. lakini ndio hana gari. hata ile alipigiwa risasi ilikuwa kwa sababu ya ubunge wake.