Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Wapinzani wa nchi yetu = Ccmwao = wapinzani
umesahau utatu wa kisiasa wa mafiga matatu![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani wa nchi yetu = Ccmwao = wapinzani
umesahau utatu wa kisiasa wa mafiga matatu![]()
TUKUTANE 2025 TUWAGALAGAZE TENA KAMA 2020 KUANZIA MTAA MPAKA U RAISKidumu Chama Cha Mapinduzi![]()
Kipindi kile walikuwa wanasema jiwe anawanunua sasa hivi sijui watakuwa na hoja gani mkuu. Tena ni viongozi wanao hama!!!wapinzani wote wanaweza kuahamia ccm safari hii, maana ni kichekesho aise![]()
wanarudi kwa hiyari yao dahKipindi kile walikuwa wanasema jiwe anawanunua sasa hivi sijui watakuwa na hoja gani mkuu. Tena ni viongozi wanao hama!!!
Tanzania hatuna vyama vya upinzani ki ujumla vyote ni masalia ya CCM
Hii inaitwa rudi nyumbani kumenoga
Kidumu chama tawala
Wapinzani wanaaminika sana na Watanzania wengi ukiondoa machawa wachache kama wewe ambao bila kulamba nyazo za Bibi wa Kizimkazi hamuendi choo!huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
(1) Lipumba na Maalim Seif kupishana baada ya Seif kutoomgawia hela alizopata kutoka kwa Lowassa alipoingia UKAWA 2015huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
wapinzani ni vibaraka wa Chama tawala kiendelee kutawala ilo hata wao wanalijua Walichokifanya kwa Lowassa ndo wanataka kukifanya kwa Makamba kumchafua kila sikuwakakahamia upinzani na kuwa watakatifu na wakawa wasio wizi wala mafisadi tena, bali wakawa wasafi na weupe kama pamba, right?
upinzani ni kiwanda cha kusafisha wezi na mafisadi right?![]()
Siwaamini na kuwakubali matapeli wa chama cha matapeli (CCM)huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
Tumeshakaa vikao vyote vitatu - cha maandalizi ya awali, mipango na mbinu za utekelezaji - kinachosubiriwa sasa ni muda mwafaka tu.KWAHIYO MNAWASUBIRIA KIMYA KIMA WAJILETE TENA MIWANYOOSHE KWENYE SANDUKU LA KURA SIO?![]()
Wewe hizo fedha zinakuhusu niniUnataka kujua mitaa tunayoishi ili iweje?
Serikali inatakiwa ifanyie kazi kero ya ufisadi unaoibuliwa kila mwaka na CAG kwani kila mwaka anaeleza kuhusu ufisadi unaofanywa.
Fedha nyingi zingeokolewa ambazo zingeweza kuja kutatua kero mbalimbali kwenye jamii kama serikali ingeamua kuifanyia kazi ipasavyo ripoti hiyo
wanachombezwa sana na ccm na wanaingia kingi kirahisi sana. Demu mtamu ni yule ambaye haingii kingi kirahisi rahisi kama hawa wapinzani. unamoiga miti huku ukifurahia , sio kuingia kingi kama akina nahii na wenzakeKinyume chake ndiyo ukweli wa wapinzani
Hizo fedha zinatuhusu Watanzania wote kwani ni fedha za ummaWewe hizo fedha zinakuhusu nini
Ndugu hamna wa kuwawajibisha wacha wale kutesa kwa zam pambana na ww uingie huko huko ukazipige nduguHizo fedha zinatuhusu Watanzania wote kwani ni fedha za umma
Embu jaribu kusoma hiyo nyaraka niliyoiatach hapo chini inaweza kukupa mwanga manake naona upo gizani pole sana.