Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

dah aise...

i am speechless labda huyu jamaa ana neno@Tindo
aje atuambie, kwanini Lisu anahangaika namna ile hadi anatafuta chama cha kwenda ila hakipo, amebaki kwenye mioyo ya raia ila chadema amekuchoka, Lisu ni mwanamapinduzi, mtu mkweli, sio mnafiki, mwanasheria anayetunza maneno, akisema tunaandamana anajua anachosema, akisema tunadai haki ana hoja zenye mashiko. amekijenga sana chadema, kwanini wanashindwa hata kumwongezea juu ile hela iliyobaki ili anunue gari? hawaoni aibu? kwani ruzuku za kina mdee zinaenda wapi? hivi huoni kitendo cha subordinate kutangaza kuchangia gari badala ya mwenyekiti ni dharau? na inaonyesha kule ndani walishindana, wakakataa kununua, akatoka nje kuomba kununuliwa na wananchi, ni dharau kwamba kwasababu mwenyekiti umekataa basi mimi nitaomba mchango kwa wananchi na nitautangaza mimi mwenyewe hata wewe usipotangaza nitautangaza mimi mwenyewe.

haya sasa, wananchi wamechanga zimetoka hela nyingi tu ila hazijatosha, kwanini msimwongezee? jazilizieni juu anunue gari.
 
Mmoja wa wakala wa watekaji ambaye kapewa jukumu la kuja JF kufanya kazi ya shetani ni huyu hapa 'Tlaatlaaa.'

Ni wazi sasa watu wajue, pamoja na kutomzuia mtu yeyote kuwasilisha maoni ndani ya JF, lakini ni wajibu wetu pia wachangiaji ndani ya jukwaa hili kuwatambua watu wanao changia kutekwa kwetu.

Jukwaa hili siyo la vichekesho, au kuja tu kuburudika. Hapa ni sehemu ya mapambano, na CCM imemtuma mtu kama huyu kuja hapa kuipambania.

Ni katika mwendelezo uleule unaofanyika sehemu zote inakopeleka utekaji wake. CCM imempa kazi ya kuja kuwateka watumiaji wa JF kwenye jukwaa hili.
 
Tindo Erythrocyte samahani sana, neno lako moja tu linatosha kutuliza mitima ya wadau kwenye hili. asanti sana
 
Walipochukua posho bungeni na kwenda kula raha Dar huku wakilazimisha wananchi wawekwe Lockdown kipindi cha COVID-19 kisa tu Ulaya wapo Lockdown.
 
ni kiri tu mbele yako na mbele ya JF fraternity,

kwamba mimi si tu mtekaji wa fikra, mitazamo na maoni tofauti ya wengine na kuniunga mkono mimi na ccm juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa...

bali pia nimebeba dhamana na jukumu zito na muhimu sana la kuwatumikia wananchi. nina heshimika sana, nina ushawishi mkubwa sana na wa kutosha mno ndani na nje ya jukwaa hili...

vile vile ni mshauri wa masuala ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, na muumini wa siasa za hoja mitandaoni na kwenye majukwaa halisi ya kisiasa maeneo mblimbali nchini
 
Hawana jipya ni njaa njaa tu bora ubaki njia kuu(CCM) tupambane kuwapata watu sahihi sehemu sahihi kwa muda sahihi ndani ya chama kuliko kutoka nje ya chama ni uongo mtu wote ni pandikizi, wengine ni tamaa za vyeo, wengine walinyimwa vyeo wanaenda vitatufuta nje ya CCM

Kidumu cha chama tawala
 
Wanalamba asali na chama tawala...


Cc: Mahondaw
wanawambia wafuaso wao wasubiri nje dah, inauma sana..

halafu leo wanaongea kwa uchungu sana kwamba wanawateea wananchi, kumbe wanatengeneza mazingira ya kuitwa wakalambe asali tena dah
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Kutuahidi posa-hewa kila baada ya miaka 5 kwamba wanachukua nchi na kuunda serikali, huku wakiishia tu kukomba ruzuku na kuunda purukushani vyamani.

Tuko tumekaa tunawachora tu wakijiandaa kutunadia mbwembwe zingine kibao mwaka huu na mwakani.
KWAHIYO MNAWASUBIRIA KIMYA KIMA WAJILETE TENA MIWANYOOSHE KWENYE SANDUKU LA KURA SIO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…