Nini kilisababisha Uongozi wa Yanga kujaa wahuni na Masela?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka

Nimemsikiliza Fei Toto akisema kwa uchungu kwamba ametukaniwa mama yake na msemaji wa Yanga.

Juzi tu tulisikia Ali Kamwe akimtukana Juma Mgunda

Haji Manara yeye ndio template ya watukanaji, wazushi na wadhalilishaji mitandaoni. Huyu sasa alishawahi kutukana Yanga nzima.

Ukikaa vizuri karibu wote pale ni wahuni na masela kuanzia Rais wao mpaka watu wa chini kabisa.

Swali langu wajameni ni kutaka kujua nini kilisababisha? What went wrong.
 
View attachment 2642714

Kwani msimu huu mshafikia malengo yenu au ndio haya? Unstoppable ilishia wapi?
 
Wahuni pamoja na masela wamechukua NBC.

Wahuni pamoja na masela wapo fainali FA.

Wahuni na masela ndiyo hao wameenda kumalizia fainali ya pili na insha'Allah wanaweza kurudi na kombe.

Vipi kuhusu wastaarabu ambao sio wahuni, wamepata chochote msimu huu?
 
Rage aliona mbali sana imagine watu hawajui hata timu yao ipo wapi wamekomaa na wahuni
 
Hao wasemaji wao wenyewe hivi karibuni wamekuwa wanamuita Rais wao msela, sasa haya yanayosemwa sasa hayatakiwi kutushangaza.

Walimteka Denis Kibu kumlazimisha asaini huko utopoloni na huyo injinia wao ndiyo aliinjinia mchongo mzima. Tusisahau hili.

Sasa hivi wanachafua taswira ya soka letu kwa kupulizia sumu kila timu inayokuja nchini na si muda mrefu uwanja wa Mkapa unaweza kufungiwa.
 
Walimteka Kibu Denis kumlazimisha asaini huko utopoloni na huyo injinia wao ndiyo aliinjinia mchongo mzima. Tusisahau hili.

Sasa hivi wanachafua taswira ya soka letu kwa kupulizia sumu kila timu inayokuja nchini na si muda mrefu uwanja wa Mkapa unaweza kufungiwa.
Mbumbumbu Pro Max
 
JEMEDARI ALISHAWAHI KUSEMA.

ENG HERSE NI MUUNI SIKUAMINI SASA NIMEANZA KUMUAMINI.

Nilimshangaa sana Herse KIPINDI Simba Inacheza na KAIZER CHEEF alivaa jezi , kuwaunga mkono KAIZER.

Nilisikitika kuwaita mashabiki WA Yanga Wala Mihogo.

HAWEZI KUMFURAHISHA KILA MTU LAKINI ANAJIHARIBIA YEYE MWENYEWE.

Msomali
 
Hao wasemaji wao wenyewe hivi karibuni wamekuwa wanamuita Rais wao msela, sasa haya yanayosemwa sasa hayatakiwi kutushangaza.

Walimteka Denis Kibu kumlazimisha asaini huko utopoloni na huyo injinia wao ndiyo aliinjinia mchongo mzima. Tusisahau hili.

Sasa hivi wanachafua taswira ya soka letu kwa kupulizia sumu kila timu inayokuja nchini na si muda mrefu uwanja wa Mkapa unaweza kufungiwa.
Msela ni tusi au neno baya?
 
View attachment 2642714

Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka

Nimemsikiliza Fei Toto akisema kwa uchungu kwamba ametukaniwa mama yake na msemaji wa Yanga.

Juzi tu tulisikia Ali Kamwe akimtukana Juma Mgunda

Haji Manara yeye ndio template ya watukanaji, wazushi na wadhalilishaji mitandaoni. Huyu sasa alishawahi kutukana Yanga nzima.

Ukikaa vizuri karibu wote pale ni wahuni na masela kuanzia Rais wao mpaka watu wa chini kabisa.

Swali langu wajameni ni kutaka kujua nini kilisababisha? What went wrong.
Dhiki ya.club
 
Back
Top Bottom