Nini kilisababisha Uongozi wa Yanga kujaa wahuni na Masela?

View attachment 2642714

Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka

Nimemsikiliza Fei Toto akisema kwa uchungu kwamba ametukaniwa mama yake na msemaji wa Yanga.

Juzi tu tulisikia Ali Kamwe akimtukana Juma Mgunda

Haji Manara yeye ndio template ya watukanaji, wazushi na wadhalilishaji mitandaoni. Huyu sasa alishawahi kutukana Yanga nzima.

Ukikaa vizuri karibu wote pale ni wahuni na masela kuanzia Rais wao mpaka watu wa chini kabisa.

Swali langu wajameni ni kutaka kujua nini kilisababisha? What went wrong.
Nn kilisababisha simba iwe timu ya warabu na wahindi?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom