OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwani msimu huu mshafikia malengo yenu au ndio haya? Unstoppable ilishia wapi?View attachment 2642714
Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka
Nimemsikiliza Fei Toto akisema kwa uchungu kwamba ametukaniwa mama yake na msemaji wa Yanga.
Juzi tu tulisikia Ali Kamwe akimtukana Juma Mgunda
Haji Manara yeye ndio template ya watukanaji, wazushi na wadhalilishaji mitandaoni. Huyu sasa alishawahi kutukana Yanga nzima.
Ukikaa vizuri karibu wote pale ni wahuni na masela kuanzia Rais wao mpaka watu wa chini kabisa.
Swali langu wajameni ni kutaka kujua nini kilisababisha? What went wrong.
Rage aliona mbali sana imagine watu hawajui hata timu yao ipo wapi wamekomaa na wahuniWahuni pamoja na masela wamechukua NBC.
Wahuni pamoja na masela wapo fainali FA.
Wahuni na masela ndiyo hao wameenda kumalizia fainali ya pili na insha'Allah wanaweza kurudi na kombe.
Vipi kuhusu wastaarabu ambao sio wahuni, wamepata chochote msimu huu?
Mbumbumbu Pro MaxHao wasemaji wao wenyewe hivi karibuni wamekuwa wanamuita Rais wao msela, sasa haya yanayosemwa sasa hayatakiwi kutushangaza.
Walimteka Kibu Denis kumlazimisha asaini huko utopoloni na huyo injinia wao ndiyo aliinjinia mchongo mzima. Tusisahau hili.
Sasa hivi wanachafua taswira ya soka letu kwa kupulizia sumu kila timu inayokuja nchini na si muda mrefu uwanja wa Mkapa unaweza kufungiwa.
Wala mihogoOngezea Rage hapo alivyowaita wanasimba mbumbumbu [emoji41]
Msela ni tusi au neno baya?Hao wasemaji wao wenyewe hivi karibuni wamekuwa wanamuita Rais wao msela, sasa haya yanayosemwa sasa hayatakiwi kutushangaza.
Walimteka Denis Kibu kumlazimisha asaini huko utopoloni na huyo injinia wao ndiyo aliinjinia mchongo mzima. Tusisahau hili.
Sasa hivi wanachafua taswira ya soka letu kwa kupulizia sumu kila timu inayokuja nchini na si muda mrefu uwanja wa Mkapa unaweza kufungiwa.
Dhiki ya.clubView attachment 2642714
Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka
Nimemsikiliza Fei Toto akisema kwa uchungu kwamba ametukaniwa mama yake na msemaji wa Yanga.
Juzi tu tulisikia Ali Kamwe akimtukana Juma Mgunda
Haji Manara yeye ndio template ya watukanaji, wazushi na wadhalilishaji mitandaoni. Huyu sasa alishawahi kutukana Yanga nzima.
Ukikaa vizuri karibu wote pale ni wahuni na masela kuanzia Rais wao mpaka watu wa chini kabisa.
Swali langu wajameni ni kutaka kujua nini kilisababisha? What went wrong.
Sijui. Naona umeanza maswali yako ya kijinga.Msela ni tusi au neno baya?
Mjinga ni wewe unashindwa kujiuliza kwanini hawa masela wanawazidi akili! msimu wa pili mfurulizo mnalia liaSijui. Naona umeanza maswali yako ya kijinga.