Nini kilisababisha Uongozi wa Yanga kujaa wahuni na Masela?

Sema Klabu zote mbili za kariakoo zina viongozi wahuni na waswahili. Kama Yule kiongozi WA Simba alimleta Manzoki kwenye uchaguzi ni upuuzi wa hali ya juu kiufupi hakutakiwa kuendelea kuongoza. Hawa nao uto badala wamwachie Fei wao wanaleta uswahili WA kutaka kukomoana.
 
Haka nako kanaminywa
 
Wastaarabu wana 5B za super league

Wahuni wana 2.3B za fainali ya shirikisho

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Maumivu ni makubwa sana huko ukololoni.

Nilitegemea utawachana viongozi wako baada ya kuwafanyia 'uhuni' katika kampeni kwa kuwaletea Manzoki na kukosa trophies.

'Anewei' katika kabati lenu la makombe mwaka huu baada ya kulipata lile la kufa kiume pia ongezeni na la viongozi wa Yanga wahuni cup [emoji28]
 
mfano huku mtaani ndo wanatuchapia sana mademu zetu,km ilivyo pale yanga wahuni ndo wanaiongoza timu kucheza mifainali ya kimataifa...WAHUNI SIO WATU AISEE
 
USM NDYO WAHUNI NI SWALA LA MUDA TU
وبنبنيذووطويسووبوين[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Sidhani kama yanga imejaa wahuni pamoja kuwa naikubali timu yangu na uongozi ila ali kamwe juzi kazingua kumtukana Mgunda hicho si kitendo cha kiungwana

Alizinguq pia kipindi wanaongea na waandishi wa habari jamaa mmoja wa Manara Tv alipewa nafasi kuuliza swali ,alijibu kwa crash kuwa " hawa ni aina ya waandishi hatupaswi kuwa nao Tanzania wanaturusha nyuma" kwa nafasi aliyonayo hakupaswa kujibu hivo.
 
Ikiwa kama hao wahuni na uhuni wao wameifikisha timu fainal basi uhuni ni kitu kizuri sana ewe mke wa okwi
 
Wewe mwenyewe ni msela na mhuni wa kutupwa
 
Dah!...ngojeni fainali mkondo wa pili ya kombe la shirikisho imalizike.
 
Hata mfanyeje hamuwezi kutuhamisha kwenye reli, kuna Watu waliamini akitoka Feisal pale Yanga timu haitafanya vizuri, wakamrubuni avunje mkataba kihuni, lakini bado Yanga haikuyumba, leo mmeanza ngonjera eti Viongozi wa Yanga wahuni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazii ipo
 
Young africans,ni timu nzuri tu haina shida tatizo viongozi wake sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani wana ujanja ujanja wa kisela sela sjuagi kwanini???yaani magumashi kibao..

Nliwahi kumskia bahanuzi said yule mwamba top scorer wa kagame cup mwaka gani sjui ule,yule mwamba anasema alichokutana nacho ni kisanga na nusu,kutoka kwa baadhi ya viongozi wa utopolo.
 
Hiyo ni asili ya Yanga wala sio jambo geni..Yanga kwa asili ilianzishwa na makuli (wabeba mizigo) wengi wasiojua kusima....
 
We mwenyewe na upimbi wako wa kikolo pelekesha unafiki wako huko jf na utulie we acha kuwaconfuse viongozi wetu , Msela mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…