Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

Kwema team MMU?

Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako?

Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu hakulipa deni langu, kila nikimdai anatafuta vijisababu vya kunikwepa, jamaa ananikwepa mpaka kesho:pepeLaughing:.

Kwa upande wako nini kilisababisha urafiki wako na besti yako/mshkaji wako kufa?
Mm urafiki ulikufa na mshikaji wangu baada ya kujifanya demu na akaanza kunitongoza akajua ninashobokea mademu.nilikuwq na chati nae kwa namba ngeni ambyo nilimwambia ni wrong namba ila aliendelea zoezi lilienda kama wiki hivi mwisho wa siku akaja kusema yeye ni fulani.nilimkataa mazima hadi leo haamini macho yake
 
Huyu mwana tulikulia kitaa kimoja tangu darasa la 3 mwaka 1997 mpaka mwaka 2013 ambapo niliona sasa inatosha.

Nilipata dem, siku moja nikapigiwa simu kuwa mchizi kalazwa ikabidi nikatishe pilika zangu nyingine niende kumcheki mwana. Demu wangu akanicheki nikamwambia nitamcheki badae nilikuwa hosp, bibie akaniuliza mgonjwa ni nani nikamjibu, basi baada ya pale ikawa ni kwenda kumcheki mwana kumsalimia mpaka alipotoka.

Siku aliyotoka hosp hakukawia sana kuwepo eneo alipokuwa ikambidi aondoke kurudi chuo, akutupa tu taarifa basi tukawa tunawasiliana. Siku moja bibie aliniuliza kuhusu hali ya mchizi nikamjibu ila nikamwambia kesharuhusiwa na karud chuo, akaniomba namba yake ili amsalimie, likawa kosa. Ikawa mimi nikizinguana na demu, demu anamcheki mwana anamshitakia kuhusu ugomvi bas jamaa akaanzia hapo mwisho wa siku wakaanza kudate. Baada ya kuconfirm mahusiano yao na mara nyingine jamaa kunitemea shit ilibid nikubali kukaa pembeni niwaache na mahusiano yao. Ujamaa na undungu tulioujenga kwa muda mrefu ukawa umehitimikia hapo.
 
Alikuja mkoa ninaoishi kunitembelea akawa mara kwa mara anaomba simu yangu anaspend nayo muda kdg sometym anatoka nayo pemben kupigia watu sikuona ishu coz ni mwana toka seco by then wote tuna vibarua kumbe mwamba anatuma mcg kwa washkaj na kuwapiga mizinga akizuga yeye ni mimi na kwamba anaumwa hana hela baadae nikaja kugundua baada ya mmoja ya waliotuma hela kutuma mcg kwa watsp ( alikuwa anawasiliana nao kwa text) akinipa pole ya kuumwa.
ME :"wat are u talkin about men?"
MWANA:, " si umeniambia unaumwa nikutumie 25k ya kununulia dawa nimeshakututumia"
ME:" dude pls call airtel to revoke that transaction ASAP".
Eventually mwana ali recover muamala wake nikamrudia mwamba kumwambia nina safari ya kikazi kesho yake nitachelewa kurud kama vp nikirud nitamshtua aje kwa sasa arud tu home kwake. That was 2017 mpaka leo hatujawahi kuonana wala kuwasiliana.
Dj nipigie wimbo wa 2pac ft Talent -Changes
 
Jamani mimi ilinigarimu kubaki mwaka mzma bila rafiki maana nilikuwa na rafki ambae to that time tulipendana sana ila ilifika muda mimi nilibaki peke yangu maana nilikuwa namshauri bestie kisa maisha akee na ilikuwa ukwel kbs kitu ambacho mpk sasa sipendelei kuwa na marafiki wa kike😰😭😭

Sometimes ukipenda msiachane na rafiki yako basi usimwambie ukweli😂😂🙌
 
Daaah ni stori ndefu, siku nikiipata wasaa nitashusha kisa kizima, ila Kwa ufupi fala kaoa shemeji yake (mchepuko wangu) ilihali alikuwa anajua kila kitu.

Fala namchukia kila siku, kibaya zaidi nilimtumia pesa ya kuchukulia mzigo wa biashara jamaa ndo akafanya ya kuolea.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Dah 🤔 huyo kweli ni fala
 
Hata sifahamu namna ya kuwa na marafiki. Ila humu jf ninao na nina furah kuhusi wao
 
Kwa upande wako nini kilisababisha urafiki wako na besti yako/mshkaji wako kufa?
Nakumbuka kipindi hicho Mimi ni fundi

Jamaa kaniletea mashine niitengeneze Mimi nafanya kazi nategemea malipo yeye ananiletea ushikaji wa kiduanzi, nikamwambia ebwana nipe hela za matengenezo jamaa akagoma mashine ikakaa kwangu almost miezi 4 jamaa kaiacha tu Pesa hataki kutoa mashine imekaa tu, nikatafuta wanunuzi wa screpa nikaiuza bei Safi kabisa kuanzia hapo Jamaa akaanza kunigongea hodi nikawapa taarifa nyumbani ninapoishi wakiona amekuja hata km nipo wamwambie SIPO, sijaonana na Jamaa huu Mwaka wa 3 na hatuishi mbali Ila tunaonana WhatsApp status tu no story no salamu na urafiki umekufa mazima hatupigiani tena Simu hatupeani ushauri na mengineyo sababu ni kuchanganya urafiki na kazi
 
Nilikuwa kila nkimwambia jambo langu haswa mahusiano anafanya kama fimbo mkipishana kidogo utasikia ndio maana sijui hivi ndio maana hivi… halafu alikuwa anamponda kila nae kuwa nae mara ana sura mbaya et unawapataga wapi wanaume wabaya daah wakati yeye bwana ake shingo yake ilikuwa imepinda

Alipopata ujauzito ndio kabisa akataka kila mtu apate, ukikutana nae mara umezeeka tafuta bwana uzae.. mara huna kizazi umelia chipsi mayai yako… jamaani hapo anaongea hivyo still tunasoma chuo tuko na 22 [emoji15][emoji15]

Sasa hivi ni kuview status no salamu… ni rafiki ambae alifanya nisijisikie comfortable ukimwambia kitu anawaambia marafiki zake wengine basi naonekana Kama kituko

Sasa hivi ni singomaza huko kila mkiwasiliana anauliza utazaa lini[emoji848]
 
1.Huyu ni rafiki wa kike alikuwa mbinafsi sana.Nimewahi kumsaidia vitu vingi tu wakati mwingine alikuwa anaumwa nkirudi safari kutoka mkoani hata sipumziki naenda moja kwa moja kumuona na kumpelekea matunda na kumuachia cash kidogo ya kupambana,akiwa down/hopeless naenda namtoa out tunakula then stori namsindikiza mpaka home kwake then naondoka.Akiwa na shida kuna watu nawanyima ila yeye nampa.Siku moja tu nilikuwa sina na alikuwa anajua hali yangu nikamwambia sina akaanza kununa akanitumia na voice note ananilalamikia nikamwambia sina hela na unajua changamoto zangu,mwisho nikamuuliza why unanifanya niwe responsible kwa ishu zako kwa lazima hivyo? Akaanza kuwaka nikampigia simu nimchane kwamba hakuna urafiki wa kipuuzi kama huu ambao tunao yani yeye ni mbinafsi 200% hajawahi kunisaidia hata 100 yake mbovu na hata urafiki wa kushauri hajawahi kuwa na ushauri wa msaada kwenye maisha yangu,akanikatia simu nikamtext akiwa free anipigie akakataa akasema hapana.Nikajisemea sawa yani mimi kosa afanye yeye nikitaka nimwambie ukweli ili tukae sawa anaona kama nafosi urafiki ambao in fact hauna faida yoyote kwangu maana mara nyingi ukiona simu au text yake ni ya shida tu naomba hela ,naomba hela.Nikasema hapa dawa moja tu namba sifuti ila simu sipigi,txt situmi.Mpaka leo kutoka mwaka jana kajipigisha simu kama mara 4 anajisalimisha anauliza maswali ya kijinga namjibu simple tu maana nishaona hata akili ya kawaida hana hata kuomba samahani kwa ujinga wake hawezi nkasema this kind of pride/ego itampeleka pabaya sana unless marafiki alio nao wamshauri vyema.
2.Mwingine ni high school friend..Ni mtu wa mashindano sana kila kitu mkifanya anataka kuoutshine/kuonekana yupo superior sana kuwazidi.Sio vibaya kuwa best lakini kushindana na watu ili kujionesha ndio tatizo hapa.Hiyo tabia hadi chuo tumekutana ndio nikajua kumbe haijapoa.Yupo vilevile.atataka kuja gheto kwako aangalie ni kitu gani unacho alafu aende anunue cha bei zaidi ya cha kwako.Yan full mashindano ambayo hayana msingi na hayajengi.nilipoa chuo na yeye mra moja moja tunawasiliana ila ni salamu tu hakuna jipya sana.

2.Wengine walienda jeshi tukawa tunawasiliana vizuri.baadae nikwatafuta tuonane kama watapata nafasi,hawakupata.By the way ubize wao at least una sababu.jamaa mmoja akawa hata hapokei simu tena na ni homeboy kabisa na tulikuwa marafiki.ni kama kuignore hivi kwa mbali na sababu sijui ni nini maana nilikuwa nawatafuta sana kuliko wao ila nikaona kama sasa huku ni kujiprndekeza ngoja na mimi nimute maana pia niko busy mambo ni mengi.Mpaka sasa bila bila🤣.Kila mtu anashinda mechi zake.

3.Wote ambao nilikuwa nawapigia sana simu nikaona wamejisahau nikaona ngoja niache kupiga simu kabisa.Nilipoacha kuwatafuta nikaanza kuona txt/simu zao kwamba nimepoa nikajisemea wajinga sana hawa wandhani mtu anapowatafuta hana kazi ya kufanya sahivi ndio wanaona kama mimi nina jukumu la kuwatafuta wao lakini wao hawawezi/hawana muda?
Nkatulia kimyaa na nikabaki na list yangu ndogo lakini ya watu ambao niko comfortable kushare nao vitu vyangu kwa amani kabisa japo sio wote.
Nikagundua pia mimi ndio nlikuwa nashikilia mahusiano yangu na marafiki kwa nguvu sana kuliko wao na nlipoachia kamba wote chini🤣.
Nkasema hawa ndio ntaenda nao atakayepata time ntamkumbuka pia,asiye na muda pia hata mimi sina mambo mengi hii dunia bado inazunguka.

MWISHO:Kuna watu ambao watakua marafiki wa karibu regardless una hela/hauna wengine ni watakua wa kushauri mambo mazuri sana ya kimaisha hata kama hawatakusaidia kifedha.Hao ndio marafiki wa kufa na kuzikana.Wengine tunasogezeana siku tu.
Mkuu huyo rafiki yako anaependa mashindano mbona siyo vibaya, kama kaja kwako kakuta una TV ya laki tano na yeye kaenda kununua TV ya milioni hapo hakuna shida, hiyo inaitwa wivu wa maendeleo.
 
Mkuu huyo rafiki yako anaependa mashindano mbona siyo vibaya, kama kaja kwako kakuta una TV ya laki tano na yeye kaenda kununua TV ya milioni hapo hakuna shida, hiyo inaitwa wivu wa maendeleo.
Sijasema ni vibaya ila anajitesa yeye mwenyewe hayuko comfortable na watu wengine wakimzidi vingine anajipush nje ya uwezo wake kabisa unaona..Ishu sio yeye kunizidi ishu ni kwamba anateseka yeye sana..
Hata akinunua gari la milioni 500 sasa hivi wala haina shida as long as amenunua kwa msukumo binafsi ndani yake sio kwamba ameniona/ameona mtu amenunua ya milioni 250 na anataka aonekane amemzidi mwenzake.
 
Kuna hii takataka ya kichaga,kila tukitoka bili inanitegea, kila akinikuta na demu yeyote ataanza kujifodoa, kaongea shits fulani kuhusu mimi nikapewa taarifa na credited source, nikaapa kumshughukikia, nikamlambia mdogo wake tulikutana SHIMUTA Tanga, nikalamba mademu zake wawili, akajua, akaniuliza nikakiri, mke wake alikuwa anaidisi IST yake,kuna siku nimekutana na mke wake kwenye ATM za Crdb story story akaniambia nimpeleke kula nyama kisongo, nikambeba tukaenda, akawa anasifia Murano yangu, nikawa nampapasa mapaja, nikamlambia kwenye gari mke wake anafanya kazi mkoa fulani wa kanda ya ziwa,, bado namvizia mwanae akue nimle nimemla mke wake mara 3 , June narudi tena kumla, hana adabu huyu mchaga
 
Back
Top Bottom