Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

Hivi kumbe, nimeshasikia sana hizo story kuna hadi mwamba akanisihi kuwa usijefanya biashara na hawa watu ni aidha atakudhurumu, atachomoka muda ambao sio sahihi mtu kuchomoka au atataka kudominate biashara.
Wengi wapo hivyo kaa nao mbali, wachache sana wanakuwaga hawana roho ya kukunja
 
Yule mshikaji alikuwa ni mnafiki afu ni tyoe ya mtu anae kuombea njaa yani hataki asikie habari ya ume fanikiwa nili mcut off gafra tu nazanii na yeye ali lijua..tuki kutana tuta cheka sana kama kawaida ila watu hawaamini kama hata no. yake sina wala na yeye hana yangu ..na mpango wa kua nayo sina
 
Nimeipenda hii ila sitaiweza maana Nina hasira za karibu
 
Binafsi sina rafiki bali nina watu watu wa karibu na ninao juana nao.

Urafiki ni hatua yenye vigezo vingi, wengi hawajui tofauti Kati ya ukaribu na urafiki
 
Daaah ni stori ndefu, siku nikiipata wasaa nitashusha kisa kizima, ila Kwa ufupi fala kaoa shemeji yake (mchepuko wangu) ilihali alikuwa anajua kila kitu.

Fala namchukia kila siku, kibaya zaidi nilimtumia pesa ya kuchukulia mzigo wa biashara jamaa ndo akafanya ya kuolea.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16] aiseeh
 
Kuna yule mshikaji muda wote ni kutaka kwenda kujirusha, hakuna lingine la maana kwake zaidi ya hilo
Watu huita kwa majina mengi
*Muda
*Jida
*Time
*

All in all
Kuna marafiki wa aina 3 Kama ifuatavyo..

Confidants, constituents and comrades..

*Usitegemee comrade akawa rafik wa kweli Hawa urafik wenu unaunganishwa mfano wote mpo against something urafk Ni wamashaka

*Constituents Hawa ni marafiki ambao anatafuta unacho tafuta wewe mfn shuleni, vyuoni so mission ikiisha urafik unaisha

*Confidants ndio rafik wa dhati wa kufa na kuzikana I mean lifetime friends (Longlife friends)
 
Nilikuwa nafanya kazi za night shift kwenye kampuni moja hivi kwa hyo ilikuwa nakaa mbali sana nikamuomba mshikaji wangu mmoja niwe nalala kwake maana ilikuwa sometimes naingia job saa 9 mchana natoka saa 5 usiku kwa hyo nilipokuwa nakaa ilikuwa mbali kumbe jamaa hakuridhia 100% ilikuwa kishingo upande nililala kwake kwa mda mfupi sana baada ya kuwa kila nikirudi geti limefungwa na komeo kwa ndani nishalala sana mbagala stand pale mpaka asubuh jamaa ndio alinipa hasira ya kununua kiwanja.

Baada ya mda nikapewa mkataba kazini nikatafuta geto la 25k pale mbagala lilikuwa na sisimizi mchwa ilikuwa nikileta demu au mshikaji akija harudi tena kwasababu ya mazingira yalivyokuwa kwa hyo mpaka leo siwezi sahau alivyonifanyia maana hata yeye alikaa home kipindi anasoma chuo nilijaribu kumwambia kajibu jeuri mpaka leo ni mbingu na ardhi baada ya kunitilia fitna kwa mwanamke niliyetaka kumuoa kiufupi jamaa ana pigo za kike now kila mtu ana maisha yake japo tulisoma wote secondary school akakaa home mpaka anapata kazi ila yeye alishindwa kunisaidia mimi tumegaki ku view status tu we don't talk anymore.
 
Mkuu,
Futa namba yake kabisa hata status usiweze view..

Pole mkuu kwa hayo maswaibu GOD IS GOD ALL THE TIME, ALL THE TIME GOD IS GOD
 
Jamaa alikuwa na wake wawili, kwahyo huyu akawa watatu, wakati mi sikuwa hata na mmoja ndo nltaka kumfanya awe mke, ila mwamba akapita naye.

Ni rafiki wa utotoni mpk ukubwani Kwa maana tulisoma pamoja form 1 had 6, na baada ya hapo tukawa tunafanya mishe pamoja na kabla jamaa hajaanza kuoa oa, katumia sana ghetto langu kuulia kima, ila mwsho wa siku kmmk kapita na manzi wangu, huyu fala siwezi msamehe maisha.

Baada ya tukio alinifanya nisikilize mwezi mzima wimbo wa SumaLee na Joh Makini - Rafiki,
Rafiki mkia wa FISI, ukidiriki atakufilisi

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo shida ni huyo mshikaji au huyo mwanamke wenu?
 
Back
Top Bottom