Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

Mimi sio rafiki tu nilivunja cicle nzima ya marafiki, niligundua ni wanafiki, mipango yangu kikazi inakwama kwasababu wanatia mkono, nikipata shida wanafurahia moyoni ,taarifa za matatizoyangu zina wafurahisha zaidi kuliko za mafanikio yangu.
Nikasema msinitanie nikapiga block wote nikatafuta watu aina nyingine ya kuwa nao karibu. Mambo ni shwarii
Changamoto Sana .
 
Daaah ni stori ndefu, siku nikiipata wasaa nitashusha kisa kizima, ila Kwa ufupi fala kaoa shemeji yake (mchepuko wangu) ilihali alikuwa anajua kila kitu.

Fala namchukia kila siku, kibaya zaidi nilimtumia pesa ya kuchukulia mzigo wa biashara jamaa ndo akafanya ya kuolea.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Duh!...
 
Nawajua nje ndani wana mazuri yao ila roho mbaya km hiyo ni dosari yao kubwa sana hawapendi uwe juu kumzidi hata akiwa ndg yake wapo hivyo,

wengi wao wapo hivyo
Hivi kumbe, nimeshasikia sana hizo story kuna hadi mwamba akanisihi kuwa usijefanya biashara na hawa watu ni aidha atakudhurumu, atachomoka muda ambao sio sahihi mtu kuchomoka au atataka kudominate biashara.
 
Mimi sio rafiki tu nilivunja cicle nzima ya marafiki, niligundua ni wanafiki, mipango yangu kikazi inakwama kwasababu wanatia mkono, nikipata shida wanafurahia moyoni ,taarifa za matatizoyangu zina wafurahisha zaidi kuliko za mafanikio yangu.
Nikasema msinitanie nikapiga block wote nikatafuta watu aina nyingine ya kuwa nao karibu. Mambo ni shwarii
Apeche alolo ya kwangu hii
 
Back
Top Bottom