Msanii mkubwa akienda na laki 4 MJ ana record lakin wewe mchanga ukienda na hiyo wanakutosa labda uende hiz studio uchwara maana zenyewe hata elf sabin wanapokeaAlienacho anaongezewa asie nacho ananyang'anywa ata kidogo alicho nacho.
Nilijua wasanii wachanga ndo wanarekodiwa bure kwasababu wengi wao hawana hela.
anaitwa Amani mdogo wake hermyni kweli kabisa. pia wana mwanasheria wao ikitokea ukaperform wimbo wao wowote bila kupitia mkataba wao wa kurecord pale ilikuwa unashtakiwa.
Unaimba miondoko gani nikupe ushauri wangu kuhusu uende wapiHapana mkuu sijarecod hela yangu ilipelea, lakin saiv niko mbion nataka niende kwa mona au marco chal
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila toka mabeste aondoke pale ndiyo kafuliaanaitwa Amani mdogo wake hermy
alimsumbua na kunyanyasa sana mabeste isingekuwa mabeste dem(lawyer) wake kwenda shule angepata shida sana!
Nasikia weusi ndiyo wanapenda sana hii style wakishaambiwa waanze lipia pesa ya kueleweka wanahama sijui kama kuna ukweli juu ya hiliKwa hiyo wasanii wana tamaa na kutopenda mafanikio ya producers...maana hawataki kulipia ila wanataka watoke kwa mteremko au mgongo wa producers af wao wakapige hela sana na shiws. Thats not ok......not at all....
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief kumbe msanii???B hits aliweka bei maalum kama huna pesa hiyo pita mbele ndo wasanii wakamkimbia
Mimi nilienda pale nikiwa na laki nne jamaa akanitosa, nikaenda kwa MJ wakanambia laki saba
Sent using Jamii Forums mobile app
I guess ni times fm
Yap, nasikia ndio kisa cha kumkimbia Nahreel, ila sio waungwana kabisa yaani zile beat za Nahreel zilivyowang'arisha wao wanachukulia poaNasikia weusi ndiyo wanapenda sana hii style wakishaambiwa waanze lipia pesa ya kueleweka wanahama sijui kama kuna ukweli juu ya hili
Anataka 2M per single!Ana record kwa kiasi gani
Nasikia hawa wasanii wakubwa wanapenda warekodi bure mtu akiwambia ela ya kueleweka basi wanahamia kwingine
Siku hizi ilishakuwa kama vile wasanii ndo wanaitangaza studio na producer wake, kwahiyo akiwa msanii mkubwa au maarufu anarekodi hata bure na walishazoea!Nasikia weusi ndiyo wanapenda sana hii style wakishaambiwa waanze lipia pesa ya kueleweka wanahama sijui kama kuna ukweli juu ya hili
Hao Weusi utapeli mwingi. Na kikampuni chao cha mfukoniYap, nasikia ndio kisa cha kumkimbia Nahreel, ila sio waungwana kabisa yaani zile beat za Nahreel zilivyowang'arisha wao wanachukulia poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kaukweli hapo, walianzia kwa hemmy b, nuhreel sasa hivi wanatengeneza bits kwa lufaNasikia weusi ndiyo wanapenda sana hii style wakishaambiwa waanze lipia pesa ya kueleweka wanahama sijui kama kuna ukweli juu ya hili
Na kwa nahreel si wameshahama.Yap, nasikia ndio kisa cha kumkimbia Nahreel, ila sio waungwana kabisa yaani zile beat za Nahreel zilivyowang'arisha wao wanachukulia poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana siku hizi hata producer anataka aimbe maana anaona anatengeneza truck kali wenzake wanapiga ela yeye njaa.Siku hizi ilishakuwa kama vile wasanii ndo wanaitangaza studio na producer wake, kwahiyo akiwa msanii mkubwa au maarufu anarekodi hata bure na walishazoea!
- Mwisho wa siku wao kama wasanii wanauza nyimbo, soundtrack, shows, mirahaba, Jukebox, Endorsements huku wakiwaacha maproducer wakiwa Njaa Kali !
Ndo hivyo, na producer akiwaringia tu wanahama. Tatizo hata maproducer wenyewe hawana umoja wala ushirikiano wowote. Wanaburuzwa na wasaniiNdiyo maana siku hizi hata producer anataka aimbe maana anaona anatengeneza truck kali wenzake wanapiga ela yeye njaa.
Wajua beat na mixing inabeba wimbo maana sometimes unakuta msanii wa kawaida ila kabebwa na beat