Nini kilitokea B-hits

Nini kilitokea B-hits

Alienacho anaongezewa asie nacho ananyang'anywa ata kidogo alicho nacho.

Nilijua wasanii wachanga ndo wanarekodiwa bure kwasababu wengi wao hawana hela.
Msanii mkubwa akienda na laki 4 MJ ana record lakin wewe mchanga ukienda na hiyo wanakutosa labda uende hiz studio uchwara maana zenyewe hata elf sabin wanapokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wasanii wana tamaa na kutopenda mafanikio ya producers...maana hawataki kulipia ila wanataka watoke kwa mteremko au mgongo wa producers af wao wakapige hela sana na shiws. Thats not ok......not at all....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa. pia wana mwanasheria wao ikitokea ukaperform wimbo wao wowote bila kupitia mkataba wao wa kurecord pale ilikuwa unashtakiwa.
anaitwa Amani mdogo wake hermy
alimsumbua na kunyanyasa sana mabeste isingekuwa mabeste dem(lawyer) wake kwenda shule angepata shida sana!
 
Kwa hiyo wasanii wana tamaa na kutopenda mafanikio ya producers...maana hawataki kulipia ila wanataka watoke kwa mteremko au mgongo wa producers af wao wakapige hela sana na shiws. Thats not ok......not at all....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia weusi ndiyo wanapenda sana hii style wakishaambiwa waanze lipia pesa ya kueleweka wanahama sijui kama kuna ukweli juu ya hili
 
Nasikia weusi ndiyo wanapenda sana hii style wakishaambiwa waanze lipia pesa ya kueleweka wanahama sijui kama kuna ukweli juu ya hili
Siku hizi ilishakuwa kama vile wasanii ndo wanaitangaza studio na producer wake, kwahiyo akiwa msanii mkubwa au maarufu anarekodi hata bure na walishazoea!

- Mwisho wa siku wao kama wasanii wanauza nyimbo, soundtrack, shows, mirahaba, Jukebox, Endorsements huku wakiwaacha maproducer wakiwa Njaa Kali !
 
Ndiyo maana siku hizi hata producer anataka aimbe maana anaona anatengeneza truck kali wenzake wanapiga ela yeye njaa.
Wajua beat na mixing inabeba wimbo maana sometimes unakuta msanii wa kawaida ila kabebwa na beat
 
Ndo hivyo, na producer akiwaringia tu wanahama. Tatizo hata maproducer wenyewe hawana umoja wala ushirikiano wowote. Wanaburuzwa na wasanii
- Hebu fikiria Alikiba eti anakosana na Abydady kwa kuwa kawarekodia Wasafi ( Mavoko ) yaani mtu ana biashara yake kwaajili yake na familia yake halafu hutaki ahudumie baadhi ya wateja wakati wewe mwenyewe unarekodi bure!
 
Back
Top Bottom