Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda kama wewe sio mtaalum ila kwasisi tuliosomea Cuba kazi ndogo hiyo!Sasa hivi ni vigumu kumtofautisha mjamzito na mwenye kitambi. Unaweza kukosa burudani ukidhani ni mjamzito
Life style mkuu, hakuna jibu jingine zaidi ya hilo.Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
Kuna mmoja nilikutana nae she was uncomfortable!, maana alifikia mpaka akaanza kunionyesha picha zake za zamani alivyokuwa hana kitambi!.Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
Kuna wanawake wanapikia msosi au bia.Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?