Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000.
Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo mbili. Kama Tanzania ingekuwa na msangomano wa watu kama uliopo kwenye nchi hizi, basi ingekuwa na watu kama 450m!
nchi hizi zilikuwa sehemu ya German East Africa. Hazina na hazikuwa na tofauti na maeneo mengine ya Tanganyika.
Ni nini kimefanya nchi hizi kuwa na watu wengi namna hiyo?