Nini kimefanya Rwanda na Burundi kuwa na watu wengi namna hii?

Japokuwa Tanzania ni kubwa kieneo, kihistoria watu wake wamekuwa wakiishi mbali mbali sana katika vikundi vidogo vidogo. Hivyo ongezeko la watu haliwezi kuwa kubwa sana. Hata hivyo takwimu zinaonesha Tanzania imeongeza idadi ya watu mara nyingi kuliko hizo nchi mbili, kuanzia mwaka 1960.

Kenya (1960) 7.751m , (2021) 53.01m , ongezeko 683%
Tanzania (1960) 10.04m , (2021) 63.59m, ongezeko 633%
Uganda (1960) 7.618m, (2021) 45.84m, ongezeko 601%
Burundi (1960) 2.747m, (2021) 12.55m, ongezeko 456%
Rwanda (1960) 2.966m , (2021) 13.46m, ongezeko 453%
Du !! Cha moto kweli
 
Wadada wa kitutsi utataman kila siku wazae vitoto / children vilivyo vizuri

Unakutana na kitoto mpaka unadhan ni cha kuchorwa kilivyo kizuri.....utotoni tulikuwa tunasema mzuri kama mtoto Yesu
Bila picha hii ni kama simlizi tu mkuu
 
Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000.

Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo mbili. Kama Tanzania ingekuwa na msangomano wa watu kama uliopo kwenye nchi hizi, basi ingekuwa na watu kama 450m!

nchi hizi zilikuwa sehemu ya German East Africa. Hazina na hazikuwa na tofauti na maeneo mengine ya Tanganyika.

Ni nini kimefanya nchi hizi kuwa na watu wengi namna hiyo?
Wanashidana Kuzaa kati ya watutsi na wahutu , ili wazidiane idadi
 
Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000.

Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo mbili. Kama Tanzania ingekuwa na msangomano wa watu kama uliopo kwenye nchi hizi, basi ingekuwa na watu kama 450m!

nchi hizi zilikuwa sehemu ya German East Africa. Hazina na hazikuwa na tofauti na maeneo mengine ya Tanganyika.

Ni nini kimefanya nchi hizi kuwa na watu wengi namna hiyo?
Mapenzi hachana nayo baba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wadada wa kitutsi utataman kila siku wazae vitoto / children vilivyo vizuri

Unakutana na kitoto mpaka unadhan ni cha kuchorwa kilivyo kizuri.....utotoni tulikuwa tunasema mzuri kama mtoto Yesu
 
Canada ina 9,985,000 km² na ina wakazi million 38, Tanzania ina 945,087 km² na ina wakazi million 65.
 
Back
Top Bottom