Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
HahahaWadada wa kitutsi utataman kila siku wazae vitoto vilivyo vizuri
MitiRwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000.
Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo mbili. Kama Tanzania ingekuwa na msangomano wa watu kama uliopo kwenye nchi hizi, basi ingekuwa na watu kama 450m!
nchi hizi zilikuwa sehemu ya German East Africa. Hazina na hazikuwa na tofauti na maeneo mengine ya Tanganyika.
Ni nini kimefanya nchi hizi kuwa na watu wengi namna hiyo?
Ingekuwa hivyo basi wao ndio wangekuwa wengi,mmezidi kuwaabudu hao ngedere.Wadada wa kitutsi utataman kila siku wazae vitoto / children vilivyo vizuri
Unakutana na kitoto mpaka unadhan ni cha kuchorwa kilivyo kizuri.....utotoni tulikuwa tunasema mzuri kama mtoto Yesu
Ajabu wengi kwenye nchi hizo, zaidi ya asilimia 80 ni wahutu.Wadada wa kitutsi utataman kila siku wazae vitoto / children vilivyo vizuri
Unakutana na kitoto mpaka unadhan ni cha kuchorwa kilivyo kizuri.....utotoni tulikuwa tunasema mzuri kama mtoto Yesu
Ingekuwa ni sababu hii nchi kama Madagascar, Botswana na Cape Verde wangekuwa na watu Mil 100+Wadada wa kitutsi utataman kila siku wazae vitoto / children vilivyo vizuri
Unakutana na kitoto mpaka unadhan ni cha kuchorwa kilivyo kizuri.....utotoni tulikuwa tunasema mzuri kama mtoto Yesu
Eko 100% Yani nchi pekee Afrika Mashariki inatuzidi ni DR Congo kuhusu Sudani Kosini sijui. Tanzania tuna utajiri mkubwa sana Ila ndo ivo haturingi na wengine hawajitambui na wengine tamaa nyingi ndo maana umasikini haupunguiMkuu Tanzania tuna mbwembwe sana yan unaweza kuta nusu ya eneo ulilotaja hapo ni MBUGA,GAME RIZEVU,MASHAMBA NA MAENEO YALIYOTELEKEZWA...Halafu haturingi...
Botswana kuna mademu wazuri?Ingekuwa ni sababu hii nchi kama Madagascar, Botswana na Cape Verde wangekuwa na watu Mil 100+
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3] mitaani watusi sio pisi kali.. ila kuna mabinti warefu kinomaWadada wa kitutsi utataman kila siku wazae vitoto / children vilivyo vizuri
Unakutana na kitoto mpaka unadhan ni cha kuchorwa kilivyo kizuri.....utotoni tulikuwa tunasema mzuri kama mtoto Yesu
Nenda katembee kule uone shape za kibantu zisizotepeta kama za kirwanda maana Rwanda ni wazuri haswa ila wakishazaa tu wanafurumuka wanakuwa wa ovyo sanaBotswana kuna mademu wazuri?
Zone ya ukanda wa kusini kule kuna pisi kali sana...tena ngumuBotswana kuna mademu wazuri?
Japokuwa Tanzania ni kubwa kieneo, kihistoria watu wake wamekuwa wakiishi mbali mbali sana, katika vikundi vidogo vidogo. Hii ndiyo ilikuwa moja ya sababu ya kuanzishwa kwa vijiji vya ujamaa. Hivyo ongezeko la watu halikuweza kukua kwa haraka kabla ya miaka ya hivi karibuni.Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000.