Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

Mkuu umechanganya, hawajauza jengo, wameuza minara. Jengo la Airtel haliwezi kuwa na thamani ya bilioni 400 ilhali jengo refu zaidi Tanzania thamani yake haifiki bilioni 150
 
Hii tofauti mkuu, Airtel mwanzo alikuwa mmiliki wa minara, ameamua kuiuza na kuwa mpangaji. Ni sawa na wewe ujenge nyumba, uamue kuiuza kisha umwambie uliyemuuzia akupangishe.

Ni sawa mkuu, ni kama helios tower walivyonunua minara ya voda/tigo wakawapangisha tena hao hao na ndio maana nikasema si kitu kipya kwa airtel kufanya hivyo kwa SBA.
 
Mkuu umechanganya, hawajauza jengo, wameuza minara. Jengo la Airtel haliwezi kuwa na thamani ya bilioni 400 ilhali jengo refu zaidi Tanzania thamani yake haifiki bilioni 150
Kidhungu kilikuja na meli
 
Haya ni kawaida katika biashara - sale and lease back. Hii hutumika pale ambapo mmiliki anashida ya pesa lakini anaona kukopa si busara au anaona kukopa hataweza kupata pesa anayohitaji, hivyo anaamua kuuza mali aliyo nayo na wakati huo buo kuendela kuitumia kuzalisha. Lazima kuna hesabu zimepigwa hapo kulinganisha riba ya mkopo na kodi ya kukodi minara
 
Hiyo kampuni tusisahau serikali ina hisa nyingi baada ya kupsmbana na wahindi waliyopora hiyo kampuni ya serikali awali. Sasa pengine ni janja ya hao wahindi kuiacha tena kapa hiyo kampuni.
 
Inawezekana operation costs za hio minara pamoja na capex ya kuiendeleza ni kubwa...wameamua ku offlload them then wafanye ku outsource.
Kwa kufanya hivyo watapunguza cost in term of operation na capex as well as ku transfer risk kwa owner mpya bila kusahau kumpa nafasi ya ku focus kwenye core business functions.
Hii kitu ya kuuza business function then ku outsource its a common practice ktk dunia ya biashara.
 
ila tuache utani watz tuliteseka sana aisee, na hakuna ambaye hakuumia.
 
Hii tofauti mkuu, Airtel mwanzo alikuwa mmiliki wa minara, ameamua kuiuza na kuwa mpangaji. Ni sawa na wewe ujenge nyumba, uamue kuiuza kisha umwambie uliyemuuzia akupangishe.
Kampuni za Mawasiliano Tz ni TTCL pekee inayomiliki Minara
 
Mkuu umechanganya, hawajauza jengo, wameuza minara. Jengo la Airtel haliwezi kuwa na thamani ya bilioni 400 ilhali jengo refu zaidi Tanzania thamani yake haifiki bilioni 150
Hata me nimeshngaa sana sio masihara jengo la usd milion 170+.........
 
Hapa ni kuongeza ufanisi hawana haja tena na kudeal na mambo ya minara wataibana kampuni inayowapangisha kupambana wao wawe hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…