Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

Serikali ya Tanzania haina hisa Airtel Tanzania?
Kama wanahisa. Je watapata gawio lolote?
 
Nimesoma kwamba asilimia kubwa ya hizi pesa itakwenda kwenye kulipia madeni ya Airtel!!
 
Wezi tu hao wadosi, tumeamka hakuna longolongo kama zamani..
 
We ni Fala Airtel wakati wanakwapua mitaji ya TTCL serikali ilikuwa wapi ,we mbwa ?
CHADEMA ndio walikuwa wanaendesha nchi, ilipoingia CCM mwaka 2015 ndio wakaanza kwanyosha matajiri waishi kama mashetani.
 
Kichwa boga

Sawa changia mada kimantiki ,sio muda wote ni kutukana tu,nashangaa unaitetea chadema kwa mitusi ,nyie ndio mnafanya bavicha waonekane wahuni....Chadema hakuna mtu asiye na hoja kwenye mada ,matusi tumezoea kutoka kwa ccm.

Fanya research kwanza kabla ya keueleza jambo humu JF ,Helios Tower inamiliki zaidi ya Towers 3500 Tanzania nzima na makampuni ya simu baadhi wamepangisha kwenye Towers zao...Unaelezwa ukweli unabaki kutukana tu......Maintanance wanafanya kwa sababu ni tower zao!
 
Hii si kwa airtel pekee.. tiGo na VodaCom walishauza baadhi ya minara yao, ukiondoa switches... Unawafahamu HELIOS TOWERS (HTT)?

Ni kwamba makampuni ya simu yaliamua kubaki na core business tu..!! KUUZA AIRTIME... Haya mambo ya surpoting functions waliamua kuwaachia wengine.. mfano Call centers zilipelekwa kwa wengine (airtel waliwapa SPANCO), IT ilipelekwa kwa wengine (Airtel waliwapa IBM), Network department, kwa wakati huo, airtel waliwapa Nokia Siemans (NSN) etc... Hawataki mambo ya kuwalipa wenye ardhi ilikojengwa minara, hawataki kumiliki majengo etc

HIVYO SI JAMBO GENI... Hapo kabla Airtel towers ilikuwa zinunuliwe na AMERICAN TOWERS COMPANY lakini ilishindikana kwa sababu ya shares za Serikali kwa airtel.. SIJAJUA WAMASOTI VIPI HILO, LAKINI NI MPANGO WA MUDA MREFU KAMA ILIVYO KWA tiGo na VodaCom
 
Kwa nini mnunuzi amefichwa?
Kuna mtu hapa amesema ni RAHA!
Je ni huyu aliyepigwa faini na serikali na baadae akabadilisha jina?
Je faini walishalipa?

 
Kwenye hii industry huwezi kuwa na kampuni ya simu at the same time ukawa na minara hiyo ni kazi ya kampuni nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…