Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa

Una kaujinga fulani hivi.Yani unadhani ukiamka asubuhi ukiangalia angani utaiona CHADEMA ile paleee angani inaelea?Dhumumi la vyama vya ukinzani ni nini?Vipo kwa ajili gani na vinatoka wapi na kwa nini?Umeyajibu hayo maswali kimoyomoyo?Sasa jiulize ukinzani upo au haupo?😜😜😜😜😜
 
Mnawaita chadema mandonga, ila mlizuia mikutano kuwaogopa na siku ya kupiga kura 2020 mkazima mtandao wa internet.
Na ukifika wakati wa uchaguzi wanakesha kwa waganga na kukaa na vyombo vya dola kuwaomba wawasaidie kuwakabili CHADEMA.Huwa wanatoa vijisentensi vyepesi kujionesha hawaiogopi CHADEMA.Ila ndani moyoni,wanaiogopa kuliko kifo au njaa.😜😜😜😜
 
Hivi kama Chadema imekufa kwanini kila siku mnaangaika nayo?
 
So mkuu kwanini unaangaika angaika na kitu kilichokufa? Jiwe alisema ataiua Chadema mwisho wa siku sote tunajua kilichotokea
 
Nani kasema chadema imekufa. Uchaguzi usingeibiwa na yule kichaa wabunge wote wa chadema wangerudi na lisu angekuwa rais. Jpm alitaka kukiua kwa nguvu akafa yeye
 
Mbona tumetapeliwa miaka sitini sasa mpaka deni la nje limefika trilioni 92? Tumetapeliwa kagoda, EPA, ESCROW, pesa za Radar, Richmond, Trilioni 1.5 za magufuli, mabilioni yanayoibwa kwenye ripoti ya CAG kila mwaka etc.
Sio bora na Ccm kuliko nyie
 
Tatizo kujibia facts hawana uwezo huo maana nchi yetu wameipeleka south, umeongea facts hapo juu na hakuna mwana Lumumba humu atakayejibia, sana wataleta mzaha tu,hivi kuna anayeamini kabisa deep miyoni mwetu kuwa 2020 Tanzania ilifanya uchaguzi mkuu?
 
Upinzani sio Chama ni Ideology, shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Upinzani soo mtu wala Chama ni Ideology, upinzania upo hadi Family levol na huwezi ua Upinzani, saaa mlivyo wajinga mnazania Upinzano ni mtu
 
Chama kikiwa ni mwendelezo wa kiupinzani tuuu miaka na miaka bila ya kushika dola, Hata kama kikiwa na sera nzuri na mikakati mizuri kiasi gani, lazima kitachokwa tuu!

Chadema kinachokwa na mambo mengi. Miongoni mwake ni pamoja na hayo
Upinzania sio Chama ni Ideology, rudi shule ulio soma waambie wakurudishie ada yako make ilipotea bure
 
Ulitaka wasimamie uswahili wako?
 

Kweli mkui watu wanbwabwaja hapa. Wanasahau kuna kipindi chadema walipambana na bunge, mahakama na polisi kwa wakati mmoja. Wakapigwa faini ya milioni mia tatu ambayo haipo kisheria. Mpaka imekuja kutenguliwa juzi na mahakama kui na kuamuru pesa zirudishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…