OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.
Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂View attachment 2722808
Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.
Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
Umemkoseaaa dada yangu.amekaa kichawi chawi.
Protocol za ulinziView attachment 2722808
Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.
Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
View attachment 2722808
Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.
Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
Ndiyo maana viongozi wanaishiaga kuwa wanga tu, sasa si angebaki nyumbani aifuatilie ibada redioni! Mtu unaenda kujumuika na waumini wenzake unaishia kujitenga, kisa eti protocal.View attachment 2722808