Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

View attachment 2722808

Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.

Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
Viongozi hugeuka mungu wadogo. Ni wapana sana inabidi benchi zima akalie yeye msije mkamsogelea na najisi zenu ebo😄😄😄😄
 
Kunaweza kuwa na sababu nyingi,

-alikula kiporo asubuhi kupelekea kutoa hewa chafu sana kiasi watu wakashindwa kukaa karibu yake.

- Kinywa kilikuwa kinatoa harufu ikizingatiwa ni asubuhi.

- Walimpa nafasi ili waraka umuingie vilivyo.
 
Fundi wa hili gauni atapewa kesi ya uhaini,nipo hapa nimekaa
 
Naona amepost kaclip chake cha mamba na nyumbu huko instagram akimaansha DP woriied kweli ni woriied kwa taifa[emoji23]
 
Back
Top Bottom