Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mumewe ni mfuasi wa Mwamposa, hawezi kusali naye kwa baba parokoLabda amekaa peke yake kwa kujitakia mwenyewe... Vinginevyo angeweza kukaa na ubavu wake tu. 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumewe ni mfuasi wa Mwamposa, hawezi kusali naye kwa baba parokoLabda amekaa peke yake kwa kujitakia mwenyewe... Vinginevyo angeweza kukaa na ubavu wake tu. 🤔
Sasa yeye ndiyo kapitisha deal la Bandari na nyinyi TEC hamltaki, Sasa mkiaachia mkae nae karibu si mnaweza hata kumchapa kibao Kama yule mfia dini mmoja alichapa Mzee Ruksa kibao baada ya kuunga mkono matumizi ya kondomu kwenye kongamano la Waisilamu, wakati huo Waisilamu walikua hawakubaliani na matumizi ya kondomu!!View attachment 2722808
Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.
Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
ni mchawi haswa , elimu yake yote ni sufuri , nliwai kukaa na mhindi mmoja ni daktari mkubwa hospital moja kubwa ya private nchini , aliniambia nyiny watu weusi bado mnaujinga wa asili , hzi elimu hazitawasaidia , sasa huyo kikongwe ndo anathibitishaUm
Umemkoseaaa dada yangu.
Mkuu ya kweli hayo?amekaa kichawi chawi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila fundi alie mshonea huo mgauni, hana huruma kabisa...[emoji23]
anajilinda na nn mbuz huyo , spika ni mbunge yaani mtu wa watu , inakuwaj unajilinda dhidi ya unaowawakilisha , hilo ni jibi hafany kazi ya wananchi wake anajiogopa sasaYawezekana ni protocol lakini angeweka wapambe kadhaa pembeni
huyo ni mbunge yaan muwakilish wa watu , anajilinda dhidi ya nan?Usalama na ulinzi ni protocol za kawaida hizo
Kwani lile kasha aliloliruka kinyumenyume pale kijijini Tukuyu lilikuwa limejaa mbalagha? Inasemwa mlikuwa na maiti ya albino.Um
Umemkoseaaa dada yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa serious asee , mhimili wake upo huru sana ?Hajatengwa huyo; kapewa heshima yake kama kiongozi mkuu wa mhimili unaojitegemea; usiofungamana; wala kushurutishwa; wala kulazimika kufuata maamuzi ya mhimili mwingine! Mhimili wake uko huru sana hivyo ni lazima na yeye akae kwa uhuru bila kuzongwazongwa.
.Ndiyo maana viongozi wanaishiaga kuwa wanga tu, sasa si angebaki nyumbani aifuatilie ibada redioni! Mtu unaenda kujumuika na waumini wenzake unaishia kujitenga, kisa eti protocal.
Wakati akiwa rais, tulikua tunasali na Mkapa pale St. Imacculate Parish, lakini kamwe alikua hawekwi kipweke hivyo. Sikuzote aliandaliwa sehemu ya kukaa, na watu wa karibu na atapokaa either watakuwa screened before au atasogezewa hata watoto lakini siyo benchi kuwa wazi kama hivyo.
Waraka wa mashogaIli asikilize vizuri na kuuelewa waraka haahahh
View attachment 2722808
Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.
Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
Huyo fundi anajitahidi sana mkuu, mwili ndio hupendezesha nguo,Ila fundi alie mshonea huo mgauni, hana huruma kabisa...[emoji23]
Kula chuma hichoHajatengwa huyo; kapewa heshima yake kama kiongozi mkuu wa mhimili unaojitegemea; usiofungamana; wala kushurutishwa; wala kulazimika kufuata maamuzi ya mhimili mwingine! Mhimili wake uko huru sana hivyo ni lazima na yeye akae kwa uhuru bila kuzongwazongwa.