ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Dah aisee kuwa chawa ndiyo naoga matusi kiasi hiki, basi buana, subiri dawa yenu nitaanza kushusha nondo balaaUlinzi gani wewe ndugu yake kunguni? Mbona hata walinzi hawajakaa pembeni yake benchi zima yuko alone.