Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

Kuna kaunafiki humu kwenye hii comment kwa akili kubwa lakini..
 
Picha ya 2022 mbona hamna hoja nzito zaidi ya porojo.😅
 
Amejitenga na ukweli hahahh
Roho iradhi lakini mwili na akili ni dhaifu…
Karibu tutaelewana
 
Hoja yako ipo wapi? baada ya kuonyesha mi uongo unakuja kwa hoja nyingine?

Usije ukakimbia na miwano yako ya mbao .!
 
Kanisa halipo hivyo itakuwa ni ishu za kiprotocal kumbe huyu ni speaker ishu za usalama ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…