Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

View attachment 2722808

Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.

Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
Sasa yeye ndiyo kapitisha deal la Bandari na nyinyi TEC hamltaki, Sasa mkiaachia mkae nae karibu si mnaweza hata kumchapa kibao Kama yule mfia dini mmoja alichapa Mzee Ruksa kibao baada ya kuunga mkono matumizi ya kondomu kwenye kongamano la Waisilamu, wakati huo Waisilamu walikua hawakubaliani na matumizi ya kondomu!!
 
Um

Umemkoseaaa dada yangu.
ni mchawi haswa , elimu yake yote ni sufuri , nliwai kukaa na mhindi mmoja ni daktari mkubwa hospital moja kubwa ya private nchini , aliniambia nyiny watu weusi bado mnaujinga wa asili , hzi elimu hazitawasaidia , sasa huyo kikongwe ndo anathibitisha
 
Yawezekana ni protocol lakini angeweka wapambe kadhaa pembeni
anajilinda na nn mbuz huyo , spika ni mbunge yaani mtu wa watu , inakuwaj unajilinda dhidi ya unaowawakilisha , hilo ni jibi hafany kazi ya wananchi wake anajiogopa sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa serious asee , mhimili wake upo huru sana ?
 
.
 
Alijua akikaa mbele waraka hautasomwa ataogopwa akati na yeye ameenda kujinyenyekeza kwa mungu
 
Hajatengwa waumini tulizuiwa na walinzi kuzingatia protocol
 
protocol za vinchi maskini na mawazo ya kikoloni ndio wanafanya haya mambo, tuna safari ndefu sana
 
Kula chuma hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…