ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Dah aisee kuwa chawa ndiyo naoga matusi kiasi hiki, basi buana, subiri dawa yenu nitaanza kushusha nondo balaaUlinzi gani wewe ndugu yake kunguni? Mbona hata walinzi hawajakaa pembeni yake benchi zima yuko alone.
Dah aisee kuwa chawa ndiyo naoga matusi kiasi hiki, basi buana, subiri dawa yenu nitaanza kushusha nondo balaa
Mbona jina zuri kabisa, hukumsikia mama siku alisema ukimgusa tu, tupo sisi chawa wake tunakushughulikia. Tupo hapa kwa ajili ya Mama, Mwenyekiti wetu CCM taifa, jemedari, mzalendo, mtu wa watu! Mpenda maendeleo!Badili hilo jina bwanaa mimi pia sipendi kukusanifu,bora uwe shabiki wa mama.Chawa?
πβΊοΈπ€£ππππ€£π€£Ili asikilize vizuri na kuuelewa waraka haahahh
Mbona jina zuri kabisa, hukumsikia mama siku alisema ukimgusa tu, tupo sisi chawa wake tunakushughulikia. Tupo hapa kwa ajili ya Mama, Mwenyekiti wetu CCM taifa, jemedari, mzalendo, mtu wa watu! Mpenda maendeleo!
Ulinziii huooo....ujinga tuuuView attachment 2722808
Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea.
Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine