Wala sio wabaguzi, hao jamaa wapo sahihi kwa 100%, wewe uliona wapi watu wapo mamilion kwa mamilion wanapelekeshwa na kikundi cha watu wasiozidi laki 1.Baada ya kuingia kwa katiba hiyo hiyo akaibeza na kuita kijitabu waafrika sio binadamu kamili ni nakubaliana na wabaguzi wa rangi
Nimecheka sana 😂😂😂Wala sio wabaguzi, hao jamaa wapo sahihi kwa 100%, wewe uliona wapi watu wapo mamilion kwa mamilion wanapelekeshwa na kikundi cha watu wasiozidi laki 1.
HUO NI UJUMBE KUWA JESHI HALITAKUBALI LILILOMFANYIA KAMPENI ASHINDWE NA PIA KURA ZOTE ZA WANAJESHI NI ZA CCM.Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Ngozi nyeusi ina laana kabisa watu walipambana kupitia katiba hiyo hiyo ikafuatwa unaingia madarakani kupitia hiyo katiba unasema ni kijitabu ambacho hakina maana nakubaliana na Wewe waafrika sio binadamu kamiliWala sio wabaguzi, hao jamaa wapo sahihi kwa 100%, wewe uliona wapi watu wapo mamilion kwa mamilion wanapelekeshwa na kikundi cha watu wasiozidi laki 1.
Miaka yote askari wote hupigia kura chama tawala. Wala hawahitaji kuunganosha na mifumo ya NIDA.HUO NI UJUMBE KUWA JESHI HALITAKUBALI LILILOMFANYIA KAMPENI ASHINDWE NA PIA KURA ZOTE ZA WANAJESHI NI ZA CCM.
Narudia tena, iwapo jeshi limetengwa kikatiba na siasa, ilikuwaje Magufuli akapokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha? Jambo lile lilifanyika hadharani, hayo ya sirini ni mangapi? Na hiyo helkopta ya kijeshi kwenye kampeni ya ccm, unataka ushahidi gani zaidi?Maelezo Yako hayaoneshi popote kutumika Kwa JESHI kisiasa
Kuna kampuni gani ya kumiliki Mi 17 helicopter hapa Tanzania ?Kuna ushahidi wowote KUWA hiyo ni ya Jeshi. Maana naona imepigwa sticker pote.
Tunashindwa kucomment
Nkija tukutane hapo buyenzi 😄Watanzania poleni, tulio kimbilia burundi tunawacheka tuu
Chadomo ondoeni shobo,mlisusa Sasa mnaleta shombo za nini?Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Kwa hiyo Jeshi saivi linatumika na CCM?Chadomo ondoeni shobo,mlisusa Sasa mnaleta shombo za nini?
Mwisho unaelewa maana ya kushika Dola?
Matunda ya viongozi waislamu hayo JESHI LIMESHA GEUZWA SHURA YA MAIMAMU NA BAKWATATaasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Inasikitisha sanaMatunda ya viongozi waislamu hayo JESHI LIMESHA GEUZWA SHURA YA MAIMAMU NA BAKWATA
Wabongo hawataki kusikia hilo, kuna gharama katika kuikomboa nchiHahaha unafurahisha sana.
Sasa jeshi ni la ccm litatumiwa na nani kama siyo ccm?
Niliwaambia achaneni na vyama anzisheni majeshi ya ukombozi kama M23, Taliban, Hamas, Houthis.
Angalieni Syria imejikomboa kutoka mikono dhalimu ya Al Asaad, hawakufunga Novena wala hawa kusali, walipigania uhuru wao.
Nyie mnadanganywa na demokrasia wao ccm wana majeshi na yanawalinda na kulinda maslahi yao.
Amkeni.
Hakuna taasisi Wala idara ambayo haina Wana CCM.Kwa hiyo Jeshi saivi linatumika na CCM?
Sisi tulio nje ya Nchi kwa sasa hata kujitambulisha kuwa Watanzania tunaona AibuTaasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Hahaha wamuombe Rosti Tamu A awalipie gharama kama hawataki kijilipia gharama zao wenyewe.Wabongo hawataki kusikia hilo, kuna gharama katika kuikomboa nchi