Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap ndio hao labda wanaleta Fitina.nimekupata......si alisema wanyonyaji na aka wakimbia?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]atafute jimama apate kiki
Ukigombana na Fella,tegemea anguko la mapema sanaWasalaam
Kati ya watu au wasanii wenye vipaji hapa nchini vya kuimba ni Aslay....
Aslay anao uwezo mkubwa sana tena sana...
Lakini kwa hivi karibuni muziki wake umeanza kuyumba kabisa na hata ile ladha imeanza kupotea kabisa na hata attentions ya watu kwake imepungua sana...
Bado najiuliza nini kimempata Aslay? Je ni utunzi umechokwa? Hana kipya cha kuwapa tena mashabiki?
Nani wakumsaidia Aslay na anguko hili? washauri wako hawaoni tatizo?
Wasalaam........
[emoji3][emoji3][emoji3] waja siwaweziOthman Suka , SAid Fela TAle Babu.
😀😀😀 Kuna kitu kinaitwa kupokezana kijiti,hauwezi kuwa namba moja milele,his career is over like Mike any one Tyson,Jacskon,Jordan.Amtafute Mwinjuma Muumini ampe ushauri.
Labda ya RoseMbona Kwatu kali sana...mnataka nn enyi Watanzania??
Hapo hujaongelea Nibebe...
Uko sahihi sana mkuu.Kupitia aslay na Darasa inabidi Diamond platnumz tumheshimu sana..
Haijawahi kutokea Tz kwa msanii wa Bongo fleva kuwa nambari 1 kwa miaka 10 mfululizo....
Wamekuja watu wamekaa mwaka mmoja kwenye climax wamepotea ila huyu mshenzi tokea 2009 anaachia mawe tuu...
kila siku tunaambiwa atafulia ila ndio kwanza anabarikiwa , ukitaja ngoma 5 zilizofanya vizuri mwaka huu hapa bongo unakuta kwenye 2 au 3 yupo na Bado hapo nyimbo zake hazipigwi radio kubwa za Tz.. Diamond ni noma sana na anastahili heshima msisubiri ashuke ndio mje mseme jamaa alikuwa noma