Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa bongo hamna kitu kabisa hapo
Hii iliishiaje?Yani simu zimetufanya tumekuwa mabongo zozo.... same wakati pancho latino anazama watu badala ya kumsaidia wao wako wanarekodi yani ni kama vile wanashindana nani atakuwa wa kwanza kupost. Limtu kiko ooh jamani ona ona jamani, anazama....
Huenda akasurvive, mimi mwaka jana bibi yangu alishambuliwa na nyuki kutoka kwenye mzinga wengi karibu one hour watu walijaribu ikashindikana huko kijijini hadi alipokuja jamaa amejifunga chandarua ndiye alimsaidia na baada ya hapo alikuwa hajitambui hadi kesho yake. dr alisema akisurvive saa 24 basi ndo amepona na alipona mpaka leo yupo japo complications nyingine ziliibuka baada ya tukio hilo ila ni uzee she is 95.
dogo alikufa. ni kitamboHii iliishiaje?
Si walimuokoa au walimuacha mpaka ikawa too late?
Haifai kuangalia dah!
mpaka anaatolewa alikuwa ashakufa mkuu. Mzee wa toka bhits pancho latino, the latino mafia...Hii iliishiaje?
Si walimuokoa au walimuacha mpaka ikawa too late?
Katika hali kama hiyo ungemuokoaje?Wanaume wa bongo hamna kitu kabisa hapo