Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Kwahiyo unatufananisha wa tz na waganda wanaokula nyama ya tako la binadamu angalia kideo cha Iddi amini dada pls usitufananishe nao
Wale wale tu mkuu usijifariji.

Kama watu wanafikia ku-record mtu aking’atwa na nyuki bila kutoka eneo la tukio kufanya juhudi za kumtafutia msaada eg kwenda nyumba za jirani kuomba angalao mashuka kumfunika utasema sisi tuna tofauti na Waganda?maana mwisho wa siku huyo muhanga akifa still ataonekana kwenye video waliyo-post same kwa Waganda so sisi hatuna u-smart wowote.
 
Mafuta ya taa Tu yangesaidia au moto, ina maana wote hakuna aliyekua hata na kiberiti akawasha Moto?? Tuweni serious, ila wote waliweza kuchukua Simu na kumrekodi
Sishauri kabisa kutumia mafuta ya taa.

Enzi hizo kuna mtu alizingirwa na nyuki, wakampa mafuta ya taa ajipake,
LAkini nyuki wakawa hawajaondoka wote.

Mtu mwingine asiyejua ili wala lile akaja na moto.

Kilichofuatia ni mhanga kuanza kuungua.
 
Wanaume wa daslam bunju ni hovyo grade one bladi hell...☹️
Nimekumbuka yule Scorpion aliyekuwa anampiga Me mwenziye hadharani hadi kumnyofoa macho na Me wa DSM wanamkodolea macho tu...😏

Ilitakiwa Mtu avae blanketi afu aje na kiginga cha moto awafukuze nyuki huku akipiga kelele wakikimbia toka hapo ili Watu waje zaidi wawasaidie 😡
 
Kuondoa gari hapo kwenda kutafuta kiberit wawashe hata majani yatoe moshi au kwenda kumuombea msaada kwa watu wengine walishindwa kabisa wakaona bora wabaki hapo kurekodi video hadi dada akate roho !!!!!!!!
 
Nimekumbuka yule Scorpion aliyekuwa anampiga Me mwenziye hadharani hadi kumnyofoa macho na Me wa DSM wanamkodolea macho tu...😏

Ilitakiwa Mtu avae blanketi afu aje na kiginga cha moto awafukuze nyuki huku akipiga kelele wakikimbia toka hapo ili Watu waje zaidi wawasaidie 😡
Kijinga cha Moto wakati wanalo Gari hapo ni kuligeuza tu na kumpulizia Moshi nyuki wanamuacha
 
Hata maharashi wadada wanayojipulizia yanavutia nyuki! Wangechoma moto t-shirt zao nyuki wangesambaratika ila na wao wangechezea miba na wangemuokoa
Nilishavamiwaga na kundi la nyuki nikakimbilia kwenye Banda la muuza chipsi jikoni 2005
Baa nzima hakuna ambaye alisalimika
 
Back
Top Bottom