Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna ya kiume na ya kike, leo ndio nimesikiakama mashoga ya kike.
Akili za ku-google popo kanyea mbingu ngono styles zipo ila ku-google jinsi ya kuokoa uhai wa Mtu aliyevamiwa na nyuki 0.0001% 😢Wenye wanakuuliza sasa pale tungefanyaje? Nchi hii ina vijana wengi ambao wana upeo mdogo wa kufikiri. Akili za kutoa simu kurekodi anazo ila akili za kumuokoa binadamu mwenzake hana.
Huyu nahisi hiyo sababu ya kwanza imechangia.kuna vitu mwilini mwake kama sio mafuta vinawavuta hao nyuki wamfate.hata namana walivyozagaa chini sio kama wamekuja kushambulia Bali Kuna kitu kimewavuta,sema taharuki yake inafanya wamngate.Hata maharashi wadada wanayojipulizia yanavutia nyuki! Wangechoma moto t-shirt zao nyuki wangesambaratika ila na wao wangechezea miba na wangemuokoa
Nilishavamiwaga na kundi la nyuki nikakimbilia kwenye Banda la muuza chipsi jikoni 2005
Baa nzima hakuna ambaye alisalimika
Malezi ya kimayai mayai "Juniors"ndiyo yanayolemaza akili za vitoto vya 2000 yrs kuwa malaiiini kama biriani ila si Kizazi chetu cha 1920-1980 kilichopitia bakora takatifu kwa Mzazi au jirani yeyote.Ila watu wa Dar ifike wakati mjitafakari, nyie kwenye kila jambo utetezi wenu ni "Sasa sisi tungefanyaje?".
Mwenzenu anaporwa na vibaka mnakaa tu mnaangalia, utasikia wapo wengi. Toka lini vibaka wakawa wengi kupita raia?
Ni sahihi.imagine Leo unapoteza mtu wa karibu mf Kwa ajali halafu fala flani anampiga picha anatuma mtandaoni inasambaa.hii ishu lazima itakuathiri kisaikolojia Kila ukikutana na hiyo picha hutopona kamwe.Kuna umuhimu mkubwa wa sheria mpya itungwe ikiwa mtu atamrekodi mtu anaeshambuliwa na kitu chochote bila kutoa msaada wowote mtu huyo aadhibiwe hata kifungo cha kwanzia miaka mitano jela
Kama huwezi kumsaidia mtu ni bora uache kurekodi, kama ni mpenda content rekodi baada ya kutoa msaada huu ni uwazimu
Wapuuzi haoSishauri kabisa kutumia mafuta ya taa.
Enzi hizo kuna mtu alizingirwa na nyuki, wakampa mafuta ya taa ajipake,
LAkini nyuki wakawa hawajaondoka wote.
Mtu mwingine asiyejua ili wala lile akaja na moto.
Kilichofuatia ni mhanga kuanza kuungua.
Nimeona pembeni kuna nyumba za Watu ndiyomaana nilikuwa na wazo hilo hata kama wangechoma nguo ni sawa ilimradi moto ungehusika kwa namna yoyote ile.Moto na Moshi Nyuki hawapendi wanakimbia kwa hio hapowangewasha hata magazeti tu ule Moshi tu ni sumu kwa nyuki wakivuta Moshi baadhi wanakufa ndio maana wanakimbia
Baa nzima wote walikufa = Baa nzima hakuna ambaye alisalimika.Hata maharashi wadada wanayojipulizia yanavutia nyuki! Wangechoma moto t-shirt zao nyuki wangesambaratika ila na wao wangechezea miba na wangemuokoa
Nilishavamiwaga na kundi la nyuki nikakimbilia kwenye Banda la muuza chipsi jikoni 2005
Baa nzima hakuna ambaye alisalimika
🤣Hawakufa mkuu ila walipata majeraha yatokanayo na kuumwa na nyuki!Baa nzima wote walikufa = Baa nzima hakuna ambaye alisalimika.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mashoga ya kike = Wasagaji.Kumbe kuna ya kiume na ya kike, leo ndio nimesikia
Wewe upo wapi?Ila watu wa Dar ifike wakati mjitafakari, nyie kwenye kila jambo utetezi wenu ni "Sasa sisi tungefanyaje?".
Mwenzenu anaporwa na vibaka mnakaa tu mnaangalia, utasikia wapo wengi. Toka lini vibaka wakawa wengi kupita raia?
Hata hawana ukaribu nae.imeandikwa wapi usaidie unaowajua na kushirikiana nao tu ama wenye ukaribu nawe?Siku hizi binadamu tuko wabinafasi sana.
Ni kwasababu huyo dada hawana ukaribu nae.
Ila kama angekuwa mtu wa karibu lazima wangepata akili.
Sheria ipo.Kuna umuhimu mkubwa wa sheria mpya itungwe ikiwa mtu atamrekodi mtu anaeshambuliwa na kitu chochote bila kutoa msaada wowote mtu huyo aadhibiwe hata kifungo cha kwanzia miaka mitano jela
Kama huwezi kumsaidia mtu ni bora uache kurekodi, kama ni mpenda content rekodi baada ya kutoa msaada huu ni uwazimu
Neti ndo suruhu au kuvaa nguo nyingi Kisha kwenda kumuokoaBaadhi ya watu wanapigwa na butwaa wanashindwa kupata mbinu ya haraka ya kumsaidia. Hapo wangefanyaje kumuokoa?
Nipo Tanzania mkuu.Wewe upo wapi?