Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Wanaume wa Dar Es Salaam hovyo kabisa,walishindwa hata kutoa msaada kidogo tu kwa huyo dada??

1. Hapo naona kuna magari, na hayo magari yana Fire Extinguisher, walishindwa kabisa kuchukua hicho kifaa na kwenda kuwapuliza hao nyuki??

2. Hayo magari si yana Exhaust pipe?? Walishindwa nini kurudisha gari reverse na kwenda kupiga resi zakutosha sana na hao nyuki wangekimbia,maana nyuki hawapendi moshi na moto!

3. Walishindwa kabisa hata mtu mmoja kuchukua vifaa vya safety mfano,kuvaa buti,overall na graves ngumu,na kwenda pale kuwasha moto kwa kutumia mashati,karatasi na hata godolo ili wale nyuki wakimbie? Nyuki hawapendi moto na moshi
 
Alipelekwa hospitali anaendelea vizuri
 

Attachments

  • Alimpeleka_Hospitali__uD83D_uDE4C_uD83C_uDFFFile_video_iliniuma_sana_aisee_Mungu_amsaidie_apon...mp4
    1.2 MB
Imagine huduma ya kwanza hospital ilikuwa ni kuwasha moto nyuki waondoke,kitendo ambacho kingefanywa na hawa mdebwedo
 
By the way, yule dada wa nyuki alipelekwa hospitali na " anaendelea vizuri"
Pia ifahamike yule dada wa nyuki ni mfanyakazi wa TIGO na Ile fulana aliyovaa probably ni ya TIGO.
 
Angesogeza gari akaekekezea ekzosti ya gari karibia na huyo dada ,moshi na upepo ungewakimbiza,angalau angeonyesha kuchwa chake si cha kufugia nywele
 
Katika hali kama hiyo ungemuokoaje?
Hapo wangesogeza gari kjirani kuona namna ya kutoa msaada,
Au wangejifunika manguo yaani wangeazimana nguo humo ndani unajifunika wanaenda kutoa msaada sas mtoto wa kike anateseka hapo wanaume wanaangalia tu wanarekodi..
 
Back
Top Bottom