Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Hamna mtanzania jasiri wewe ungekua jasiri ccm isingekua madarakani hivyo wewe nae mrembo tu kama hao
Umenikumbusha Kuna manzi mmoja nilikuwa nae rumu tunafurahia maisha wakati ule generation Z wa Kenya wakiandamana.

Akasema Tanzania hakuna Wanaume, ile kauli ilinifanya nichukie mno na nikaishia kumalizia hasira zote kwake.

Badala ya kwenda safari 3 nilihakikisha naenda 5 ili kuonesha Uanamme aliosema hatuna
 
Amefariki? Nimeona alipelekwa hospital, watanzania tumepoteza utu kabisa. Tumekuwa waoga kupitiliza.

Ni juzi tu abiria wa bus zima wamemuangalia dereva wao akipigwa hadi kifo, aibu.
Aliyeleta taarifa humu alisema huyo Dada amepoteza maisha, if ni tofauti basi ni jambo la heri

Watanzania inaonekana tuna woga kupitiliza, angalau wale Wamakonde wa Mtwara wana ujasiri kidogo compared na huku kwingine
 
Wenye wanakuuliza sasa pale tungefanyaje? Nchi hii ina vijana wengi ambao wana upeo mdogo wa kufikiri. Akili za kutoa simu kurekodi anazo ila akili za kumuokoa binadamu mwenzake hana.
Hili jambo la kurekodi mtu/watu walio kwenye hali ya hatari ya kifo na kusambaza inatakiwa itunguwe sheria na adhabu kali itolewe kwa wahusika. Huu siyo ubinadamu.
 
Mimi nilikutana na nyuki ambao walitoka kuchokozwa ghafla bini vuu hawa hapa nililala chini chap nikajifunika kikoi nikatulia tuli wakanizingira badae wakaamua kuondoka,kilikuwa kitendo cha ghafla na ndo nilikuwa nimeajiriwa,asee niliwaza sana.Ila hawa wanaume ni wajinga sana
Upo sahihi 100%, ukijifunika nguo nyuki hawezi kukuuma.

Ni tofauti na wadudu wengine kama nyingu ambao mishale yao inauwezo wa kupenya kwenye nguo.
 
Yaani viberiti vya kuwashia Sigara wanavyo ila wameshindwa kuwasha hata Makaratasi kuwakimbiza hao Nyuki

Hata kama naishi DSM, sitaki hata kusikia Wakiniita Mwanaume wa DSM 🙌
Zamani nilipokuwa huko Bush nilikuwa naimagine watu wote wa dar ni matapeli sasa na mimi nimo jijini sijui nimekuwa tapeli😅😅😅
 
Back
Top Bottom