Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

Yani simu zimetufanya tumekuwa mabongo zozo.... same wakati pancho latino anazama watu badala ya kumsaidia wao wako wanarekodi yani ni kama vile wanashindana nani atakuwa wa kwanza kupost. Limtu kiko ooh jamani ona ona jamani, anazama....
Kuna vingine usilaumu watu, sasa unataka mtu asiyejua ogelea akamuokoe anayezama?

Mtu unaendaje kwenye nyuki kichwa kichwa?
 
Watanzania wamekuwa wajinga sana, msaada wa kwanza kwenye hatari ya kuokoa maisha ya mtu ni kutoa visimu vyao mfukoni na kuchukua video. Hovyo kabisa.

Umbea umbea hadi wanaume wanataka wawe wakwanza kupasha habari.
 
Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi.

Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?

View attachment 3088650
Ubahiri ni aghari, unalala njaa wakati hela unayo! Watu wanayo hela ya kununua rungu dawa ya mbu lakini wanaona ubahiri kununua kheri afe binti wa watu!
 
Back
Top Bottom